-
Pezeshkian: Iran na Russia hazitakubali kuburuzwa na maadui
Jan 24, 2025 23:33Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, mapatano kamili ya ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Russia yanaonyesha kwamba Tehran na Moscow kamwe hazitakubali matakwa ya kupindukia ya maadui, akisisitiza kuwa nchi mbili hizi zitashirikiana kuunda sera zinazotoa kipaumbele kwa masuala ya utulivu, usalama, maendeleo na ustawi wa uchumi katika eneo.
-
Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Marekani
Jan 24, 2025 08:35Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, njia pekee ya kukabiliana na uadui na tamaa za kupindukia za Marekani ni kuendeleza Muqawama.
-
Meja Jenerali Salami: Ushindi wa Gaza unamaanisha ushindi kwa ulimwengu wa Kiislamu
Jan 24, 2025 05:49Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (SPAH) amesema kuwa, kujiuzulu kwa maafisa wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kumalizika vita vya Gaza ni ishara tosha ya kushindwa kwao katika vita vya Gaza.
-
Rais Pezeshkian: Iran haitasalimu amri kwa vitisho na vikwazo
Jan 24, 2025 03:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili halitasalimu amri kwa vitisho na vikwazo vya maadui.
-
Kiongozi Muadhamu: Ni muhimu kutoa taswira ya sifa na mienendo ya mashahidi
Jan 24, 2025 00:42Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuna umuhimu wa kuonyesha sifa na tabia za mashahidi katika kazi za kitamaduni na sanaa.
-
Iran: Kuzishutumu nchi huru bila ya sababu ni kuendeleza uvunjaji wa sheria
Jan 24, 2025 00:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tuhuma ya Marekani dhidi ya Cuba na kuliingiza tena jina la nchi hiyo katika orodha ya mataifa yanayodaiwa kuunga mkono ugaidi ni hatua ya kipuuzi na isiyokubalika kabisa.
-
Araqchi amjibu Guterres: Ni kukosa adabu kuwapa mawaidha Wairani
Jan 23, 2025 10:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres akisisitiza kuwa Iran haijawahi kuwa na nia ya kumiliki silaha za nyuklia na kwamba kushikamana kwa Iran na makubaliano ya NPT kuko wazi kwa kila mtu.
-
Iran inapaswa kuhesabiwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuhifadhi wakimbizi
Jan 23, 2025 09:36Iran inapaswa kutambulishwa kama mfano wa kuigwa duniani katika kuhifadhi wakimbizi. Hayoi yamesema na afisa mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi nchini Iran UNHCR.
-
Pezeshkian awataka Wairani kuwa macho mkabala wa njama za maadui
Jan 23, 2025 04:18Rais wa Iran amesisitiza haja ya kudumisha umoja wa kitaifa nchini, wakati huu ambapo maadui wa taifa hili wanakula njama na kutaka kutumia vibaya mizozo ya ndani.
-
Zarif: Iran sio tishio la usalama kwa nchi yoyote ile
Jan 23, 2025 04:07Makamu wa Rais katika Masuala ya Kistratejia wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu si tishio la usalama kwa nchi yoyote ile duniani, akisisitiza kwamba kama Tehran ingelikusudia kutengeneza silaha za nyuklia, ingelikuwa imefanya hivyo zamani.