-
Jenerali Naqdi: Tutaishtaki US kwa kupuuza Mkataba wa Algiers
Oct 06, 2024 22:50Naibu Kamanda wa Jeshi la Ulinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC anayesimamia masuala ya uratibu amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itafungua kesi dhidi ya Marekani mwezi ujao kwa kushindwa kwake kutekeleza Mkataba wa Algiers kuhusiana na kurejeshwa mali za Iran.
-
Takwa na msisitizo wa Iran wa kuimarisha mtazamo wa eneo kuwa na mwelekeo wa pamoja katika sera za nje
Oct 06, 2024 22:46Alireza Enayati, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Saudi Arabia amesema: Iran ina nia ya dhati ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili na wa pande kadhaa na kuimarisha mtazamo wa eneo kuwa na mwelekeo wa pamoja kwa ajili kufikia ustawi na kuwa na usalama halisi.
-
Ziara ya Araghchi nchini Syria kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kikanda wa Iran
Oct 06, 2024 10:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika muendelezo wa ziara yake ya kieneo ametembelea pia Damascus, mji mkuu wa Syria kukutana na kushauriana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo.
-
Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Iran amtunuku nishani ya Fat'h Kamanda wa Kikosi cha Anga cha IRGC
Oct 06, 2024 08:40Ayatullah Ali Khamenei Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Iran amemtunuku nishani ya Fat'h, Amir Ali Hajizadeh, Kamanda wa Kikosi cha Anga na Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Iran yalaani hujuma za kijeshi za Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen
Oct 06, 2024 03:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza huko Sana'a, Al Hudaydah na maeneo mengine ya Yemen.
-
Araghchi akosoa uzembe wa Baraza la Usalama katika kukabiliana na jinai za Israel
Oct 05, 2024 23:21Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uzembe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na vitendo haramu na jinai za utawala wa Kizayuni ambazo zinafanyika kwa himaya na uungaji mkono wa Marekani na Uingereza.
-
Washington Post: Makumi ya makombora ya Iran yameharibu vituo vya kijeshi vya Israel
Oct 05, 2024 23:21Gazeti la Marekani la Washington Post limetangaza katika ripoti yake kwamba makumi ya makombora ya Iran yaliyorushwa siku ya Jumanne kuelekea Israel yalifanikiwa kupita katika mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel na kuharibu kambi zake za kijeshi.
-
Jibu la kulipiza kisasi la Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni lilitolewa kwa msingi wa sheria za kimataifa
Oct 05, 2024 22:53Licha ya kuwa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetekeleza Operesheni ya "Ahadi ya Kweli 2" kwa ajili ya kuonyesha uwezo wake wa kistratijia wa kuuadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini wakati huo huo ni wazi kuwa hatua hiyo iliyochukuliwa kwa ajili ya kulinda heshima ya taifa la Iran imefanyika kwa msingi wa sheria za kimataifa.
-
HAMAS yatoa shukrani kwa matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi katika Swala ya Ijumaa
Oct 05, 2024 09:00Mjumbe mmoja wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameshukuru matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika khutba ya Sala ya Ijumaa kwa kutaja oparesheni za makombora za Iran dhidi ya utawala huo katili wa Kizayuni kuwa ni za kihistoria.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Lebanon ni 'hatua ya kijasiri'
Oct 05, 2024 02:41Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon Mojtaba Amani amesema safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi nchini Lebanon ilikuwa "safari ya kijasiri na yenye kuonyesha nguvu."