-
Iran yaongeza uuzaji mafuta ghafi
Jan 04, 2025 09:09Mauzo ya nje ya mafuta ghafi kutoka Iran yalipanda tena katika nusu ya pili ya Desemba, baada ya kuanza polepole katikati ya mwezi huo.
-
Araqchi: Tupo tayari kwa mazungumzo yenye tija kuhusu mpango wetu wa nyuklia
Jan 04, 2025 04:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kufanya mazungumzo yenye tija na bila ya kuchelewa kuhusu mpango wake wa nyuklia.
-
Iran yalaani vikali shambulizi linalohusishwa na Daesh nchini Marekani
Jan 03, 2025 23:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu 15.
-
Iran imeweza vipi kuwa na nafasi ya juu katika nyanja za afya ya wanawake wajawazito?
Jan 03, 2025 10:49Moja ya masuala muhimu ambayo yameonekana katika miongo miwili iliyopita ni nafasi ya juu ya mfumo wa afya wa Iran kati ya nchi za kanda ya Asia Magharibi na dunia kwa ujumla.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa asisitiza ushindi wa mhimili wa muqawama dhidi ya maadui
Jan 03, 2025 08:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesisitiza kuwa mhimili wa Muqawama utaibuka na ushindi mbele ya maadui.
-
Rais Pezeshkian: Tutaendeleza njia ya Shahidi Soleimani kwa nguvu
Jan 03, 2025 00:16Rais Massoud Pezeshkian amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na njia iliyoanzishwa na kamanda shujaa wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kwa nguvu zake zote.
-
Meja Jenerali Salami: Adui anaporomoka; Muqawama utaibuka na ushindi
Jan 03, 2025 00:14Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa, vita vya kisaikolojia vya adui Mzayuni ni ishara ya mwisho wake, na Muqawama utaibuka na ushindi.
-
Kutoka makundi yenye uhusiano na NATO hadi makundi ya muqawama Palestina
Jan 02, 2025 11:46Parstoday- Mhadhiri wa Chuo Kikuu wa Iran na mwanaharakati wa mtandao wa kijamii wa X ameandika ujumbe katika ukurasa wake na kueleza mgawanyiko wa makundi yenye uhusiano na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) na makundi ya muuqawama.
-
Wairani wanadhimisha kumbukumbu ya miaka 5 ya kuuawa shahidi Jenerali Soleimani
Jan 02, 2025 11:34Makumi ya maelfu ya wananchi wa Iran wamemiminika katika mkoa wa kusini mashariki wa Kerman kutoa heshima kwa kamanda mkuu wa kupambana na ugaidi, Jenerali Qassem Soleimani.
-
Iran yajikarabatia kikamilifu ndege ya Airbus licha ya vikwazo vya Magharibi
Jan 02, 2025 11:17Iran imesema moja ya ndege zake za Airbus ambazo zimesimamishwa kutokana na vikwazo vya Marekani imeanza tena kuruka angani kutokana na juhudi za wahandisi wa ndani za kutengeneza au kukarabati vipuri vinavyohitajika.