-
Tathmini ya hotuba ya Rais wa Iran katika mkutano wa kuimarisha malengo ya Umoja wa Mataifa
Sep 24, 2024 08:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefafanua mitazamo ya Iran kuhusu 'Mkataba wa Mustakabali wa Kuimarisha Malengo ya Umoja wa Mataifa.
-
Rais Pezeshkian: Iran haijawahi katu kuwa na nia ya kumiliki silaha za nyuklia
Sep 24, 2024 07:45Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Iran amesema, Iran haijawahi katu kuwa na nia ya kumiliki silaha za nyuklia, bali imeheshimu na kutekeleza ahadi zake kulingana na makubaliano ya kimataifa ya JCPOA.
-
Rais Pezeshkian atilia mkazo kuimairishwa uhusiano wa kiusalama baina ya Iran na Uturuki
Sep 24, 2024 04:02Rais Masoud Pezeshkian amefanya mazungumzo na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuimarisha uhusiano wake wa pande zote na Uturuki yakiwemo masuala ya usalama.
-
Mohsen Rezai: Kisasi cha damu ya Ismail Haniyeh kinakuja
Sep 24, 2024 04:01Mjumbe wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia jinai ya utawala wa Kizayuni ya kumuua kigaidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa zamani wa Ofisi ya Kisiasa ya HAMAS hapa Tehran na kusisitiza kuwa, kisasi cha damu ya mwanamapambano huyo wa Palestina, kinakuja.
-
Rais wa Iran: Amani inapasa kuchukua nafasi ya vita duniani
Sep 23, 2024 23:58Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, amani na usalama vinapaswa kuchukua nafasi ya vita na umwagaji damu duniani. Rais Masoud Pezeshkian amesema hayo alipoona na wakurugenzi waandamizi wa vyombo vya habari vya Marekani mjini New York na kubainisha kwamba, Iran sio kama vyombo vya habari vya dunia vinavyoinyesha na tuko tayari kuishi kwa amani na usalama na dunia nzima.
-
Iran kurusha satelaiti 7 mpya katika anga za mbali
Sep 23, 2024 22:49Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Iran (ISA) amesema Jamhuri ya Kiislamu inapanga kutuma katika anga za mbali satelaiti tano hadi saba zilizotengenezwa ndani ya nchi. Operesheni hizo zitatekelezwa kabla ya kumalizika mwaka wa sasa wa kalenda ya Iran unaoishia tarehe 20 Machi 2025.
-
Watafiti wa Kiirani wafanikiwa kuainisha sehemu sahihi ya tishu ya saratani
Sep 23, 2024 22:49Wataalamu wa teknolojia na watafiti wa Iran wamefanikiwa kutengeneza bidhaa inayotambua eneo halisi la uvimbe na kurahisisha kuondoa tishu za saratani.
-
Nasser Kanani: Israel haitarejea katika kipindi cha kabla ya Kimbunga cha al Aqsa
Sep 23, 2024 08:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja mlingano wa kistratijia katika eneo baada ya operesheni dhidi ya Uzayuni ya Kimbunga cha Al-Aqsa kuwa ulikuwa kwa manufaa ya Wapalestina na makundi ya muqawama. Amesema utawala wa Israel hautarejea katika hali uliyokuwa nayo kabla ya Kimbunga cha al Aqsa.
-
Rais wa Iran asema undumakuwili wa nchi za Magharibi ni sababu kuu za vita, mauaji
Sep 23, 2024 08:18Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amelaani misimamo ya undumakuwili ya nchi za Magharibi ambayo amesema imesababisha kuenea kwa umwagaji damu na vita duniani kote.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Saudi Arabia wakutana na kushauriana mjini New York
Sep 23, 2024 03:41Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamezungumzia hali mbaya ya Ukanda wa Gaza iliyosababishwa na kuendelea kwa mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na utawala katili wa Kizayuni.