-
Mlipuko mgodini waua watu 51, na kujeruhi 20 katika mkoa wa Khorasan Kusini, Iran
Sep 22, 2024 08:49Zaidi ya watu 50 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa kutokana na mlipuko mkubwa uliosababishwa na uvujaji wa gesi kwenye mgodi wa makaa ya mawe katika mkoa wa Khorasan Kusini Mashariki mwa Iran.
-
Tathmini ya pande tofauti za safari ya Rais Pezeshkian mjini New York na kushiriki kwake katika kikao cha UNGA
Sep 22, 2024 06:33Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka leo Jumapili mjini Tehran kuelekea New York kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kushauriana na viongozi wa nchi mbalimbali watakaoshiriki kikao hicho.
-
Rais wa Iran aelekea New York kushiriki katika mkutano wa UNGA
Sep 22, 2024 04:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka Tehran na kuelekea New York, Marekani kwa lengo la kushiriki katika mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA.
-
Abbas Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani
Sep 22, 2024 03:50Abbas Araghchi, Waziri Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ikiwa mmoja wa wahanga wakuu wa vikwazo vya Marekani, inaelewa kikamilifu hali ya watu wa Cuba, hivyo inaiunga mkono nchi hiyo dhidi ya vikwazo vya nchi hiyo ya Magharibi.
-
Kan'ani: Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya jinai za Israel huko Palestina, Lebanon na Syria
Sep 21, 2024 23:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya ya Iran amesema kuwa, Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima na kujibu malalamiko makubwa ya kimataifa kwa kushiriki kwake katika jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina, Lebanon na Syria.
-
Masomo tunayojifunza kutokana na kujitetea kutakatifu, miaka 36 baada ya kumalizika vita
Sep 21, 2024 22:48Miaka 36 imepita tangu kumalizika vita vya miaka 8 ambavyo utawala wa Baath wa Iraq uliitwisha Iran, vita ambavyo vimeacha nyuma mafunzo na ibra nyingi zilizo wazi, 4 kati ya hizo zikiwa muhimu zaidi.
-
Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)
Sep 21, 2024 09:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
-
Abbas Araghchi: Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni utaendelea hadi ukombozi wa Palestina
Sep 21, 2024 08:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, mapambano na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni yataendelea hadi ukombozi wa wananchi wa Palestina utakapopatikana.
-
Kanani: Njia pekee ya kulinda nchi ni muqawama na kuimarisha mamlaka ya kitaifa
Sep 21, 2024 08:43Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, kujihami kutakatifu kumewathibitishia Wairani kwamba, njia pekee ya kulinda nchi, umoja wa ardhi yote na usalama wa taifa dhidi ya wavamizi na waungaji mkono wao waovu wenye sifa za shetani ni muqawama na kuimarisha mamlaka ya kitaifa.
-
Rais wa Iran: Hakuna shetani aliye na ujasiri wa kuishambulia Iran
Sep 21, 2024 04:42Rais wa Jamhuri ya Iran amesema kuwa, shetani yeyote hawezi kuthubutu kuivamia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokan na nguvu na uwezo wake mkubwa wa kijeshi wa kumzuia adui.