-
Iran yalaani shambulizi la hivi karibuni zaidi la kigaidi la Israel nchini Lebanon
Sep 21, 2024 04:09Iran imelaani vikali shambulio la hivi karibuni la kigaidi la utawala haramu wa Israel dhidi ya jengo la makazi katika eneo lenye wakazi wengi huko Beirut, Lebanon, ambalo limesababisha maafa na kujeruhiwa watu wengi, wakiwemo wanawake na watoto.
-
Ulazima wa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura kwa ajili ya kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 21, 2024 03:52Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza na Lebanon zinaendelea katika kivuli cha kushindwa jamii ya kimataifa kusimamisha jinai hizo.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu
Sep 20, 2024 09:13Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ametilia mkazo umuhimu wa kuimarishwa umoja na mshimakamano baina ya Waislamu kote duniani na kujiepusha na jambo lolote linaloibua hitilafu na mifarakano baina ya wafuasi wa dini hiyo.
-
Rais wa Iran atembelea majeruhi wa shambulio la kigaidi la Israel katika Hospitali ya Farabi, Tehran
Sep 20, 2024 09:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatembelea majeruhi wa shambulio la hivi karibuni la kigaidi la utawala wa Kizayuni wa Israel waliohamishiwa Iran kwa ajili ya matibabu.
-
Iran: Vitendo vya kiwendawazimu vya Israel inapasa vikabiliwe na hatua za haraka za kimataifa
Sep 20, 2024 04:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, vitendo vya kiwendawazimu vya utawala wa Kizayuni ni tishio la wazi kwa amani na usalama wa dunia na inapasa vikabiliwe na hatua za haraka za kimataifa.
-
Ujumbe tofauti wa Kongamano la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran
Sep 19, 2024 22:59Kusadifiana jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuenea jihai hizo hadi Lebanon kwa kulengwa kigaidi maelfu ya raia wa nchi hiyo kumeongeza maradufu haja ya kongamano la 38 mjini Tehran kutoa kipaumbele kwa mipango ya kuimarisha umoja wa kivitendo baina ya Waislamu na kuziwezesha nchi za Kiislamu kufikia nguvu moja ya kuzuia jinai za aina hiyo.
-
Rais wa Iran: Jinai za Israel ni matokeo ya ukosefu wa umoja wa Waislamu
Sep 19, 2024 11:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, adui analeta mgawanyiko na mifarakano kati yetu na kubainisha kwamba, Waisraeli milioni 2 au 3 wanawaangamiza Waislamu, wanaua wanawake na watoto, wazee na vijana na wagonjwa, wanapiga mabomu hospitali na misikiti na sisi tumekaa tu na kutazama, kwa sababu hatuna umoja na ndio maana Israel inathubutu kufanya jinai hizi.
-
Radiamali ya Iran kuhusu jinai ya utawala wa Israel ya kulipua vyombo vya mawasiliano vya pager nchini Lebanon
Sep 19, 2024 07:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani jinai ya kigaidi ya Wazayuni ya kulipua vyombo vya mawasiliano vya "pager" katika maeneo tofauti ya Lebanon na kusema jinai hiyo ni aibu kubwa kwa nchi za Magharibi hususan Marekani.
-
Tehran na Moscow zasisitiza kufikia makubaliano jumuishi ya kimkakati kati yao
Sep 19, 2024 03:45Rais Vladimir Putin wa Russia amekubali pendekezo la Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo ya kutiwa saini makubaliano ya kina ya ushirikiano wa kimkakati na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Iran atoa mkono wa pole kwa wananchi wa Lebanon kufuatia jinai ya juzi ya Wazayuni
Sep 19, 2024 03:22Rais wa Iran ametoa mkono wa pole kwa wananchi wa Lebanon kufuatia jinai ya juzi ya Wazayuni nchini humo ambapo raia kadhaa wa nchi hiyo wameuawa shahidi na wengine wengi kujeruhiwa.