-
Sisitizo la Iran juu ya Umoja wa Mataifa kutoruhusu hatua za mabavu za upande mmoja
Jul 17, 2024 02:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya kisheria na kimataifa amesema, Umoja wa Mataifa unapaswa kupinga wazi hatua za mabavu na za upande mmoja zinazotekelezwa na baadhi ya madola yenye kiburi duniani, na kuyataka yakomeshe hatua hizo mara moja.
-
Bagheri Kani: Marekani ni kikwazo kikuu katika kuhitimisha mauaji ya kimbari ya Israel Ukanda wa Gaza
Jul 17, 2024 00:11Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameishutumu Marekani kwa vita vya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza. Ali Bagheri Kani amesisitiza umuhimu wa kushirikiana pande kadhaa ili kurejesha amani na utulivu duniani.
-
Mamilioni ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) washiriki maombolezo ya Ashura
Jul 16, 2024 08:07Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).
-
Bagheri Kani na Rais wa Baraza Kuu la UN wajadili mauaji ya Gaza
Jul 16, 2024 04:14Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuna udharura wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kukomesha jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Iran katika maombolezo ya Tasua, yaitaka dunia ikabiliane na jinai za Israel
Jul 15, 2024 09:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran sanjari na kutoa mkono wa pole kwa Waislamu kote duniani ambao hii leo wapo katika maombelezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS, ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kivitendo za kusimamisha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Iran ya Kiislamu yaghariki kwenye Tasua ya Imam Hussein AS
Jul 15, 2024 07:21Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, marasimu, majlisi na shughuli mbali mbali za maombolezo ya Tasua ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume wetu Muhammad SAW.
-
Kaimu Rais wa Iran alaani uhalifu wa Israel huko Gaza, kimya cha jamii ya kimataifa na nchi za Waislamu
Jul 15, 2024 04:41Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohammad Mokhber, amelaani vikali jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza huku kukiwa na kimya cha taasisi za kimataifa na nchi za Kiislamu.
-
Pezeshkian: Iran kamwe haitaliacha taifa la Palestina pekee yake katika vipindi vigumu
Jul 14, 2024 23:56Rais mteule wa Iran amesisitiza udharura wa kuendelea kuliunga mkono taifa la Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Kufafanuliwa na Rais mteule Masoud Pezeshkian fremu ya sera za kigeni za serikali mpya ya Iran
Jul 14, 2024 23:14Katika risala yake ya pili, rais mteule wa Iran Masoud Pezeshkian, amefafanua sera ya serikali mpya katika uga wa nje.
-
Kan’ani alaani madai ya Argentina ya kuwahusisha raia wa Iran katika mlipuko wa "Amia"
Jul 14, 2024 03:55Nasser Kanani Chafi, Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, amelaani matamshi yasiyo na ushahidi ya Waziri wa Sheria wa Argentina na vile vile taarifa iliyotolewa na Ofisi wa Rais wa nchi hiyo ikiwatuhumu raia wa Iran kuwa walihusika katika mlipuko wa jengo la "Amia".