-
Qalibaf: Anga ya Israel imekuwa "shamba la bibi", ni wakati wa kutekeleza mpango unaofuata
Mar 22, 2026 03:50Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema inaonekana kuwa umewadia wakati wa kutekeleza mpango unaofuata uliopangwa hapo awali kwa ajili ya mashambulizi zaidi dhidi ya Israel.
-
The Independent: Trump analazimika kuipa Iran inachokitaka ili kujinasua kwenye maangamizi
Mar 22, 2026 03:49Gazeti la Uingereza la Independent limeandika kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amenasa katika maangamizi kwa kuanzisha vita dhidi ya Iran na analazimika kuipatia Iran inachokitaka ili kukomesha vita hivyo.
-
Mauaji ya kigaidi ya Marekani na Israel dhidi ya viongozi wa Iran na mmomonyoko wa sheria za kimataifa
Mar 21, 2026 07:04Mauaji ya kigaidi dhidi ya Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran mnamo Machi 17, 2026, siku 18 tu baada ya mauaji mengine ya kigaidi dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Seyyed Ali Khamenei, ni zaidi ya suala la kuongezeka tu mashambulizi ya kijeshi. Yanaangazia wazi upuuzaji wa sheria za kimataifa zilizobuniwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia 1945.
-
Mokhber: Taifa lenye irada na azma ya atomiki halihitaji bomu la atomiki
Mar 21, 2026 06:40Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii akisema: Taifa lenye irada na azma ya atomiki halihitaji bomu la atomiki.
-
Araqchi: Tunataka kukomeshwa vita kabisa, sio kusitishwa kwa muda
Mar 21, 2026 06:33Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haikubali suala la kusitishwa mapigano, bali inataka kukomeshwa kabisa, kikamilifu na daima kwa vita hivyo.
-
Kiongozi Muadhamu: Mstari wa mbele wa Iran ni mpana zaidi kuliko fikra finyu za adui
Mar 21, 2026 06:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliwaambia wananchi wa Iran kwamba: Kwa kumpa adui pigo, mmemfahamisha kwamba hapambani tu na makombora, ndege zisizo na rubani, torpedo na zana za kijeshi pekee kwani mstari wa mbele wa Iran ni mpana sana kuliko taswira yake ndogo na iliyodhalilika.
-
Rais wa Iran: Hatuna nia ya kuwa na migongano na nchi za Kiislamu
Mar 21, 2026 06:22Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, 1405 na kusema: “Mwaka huu, kuliko wakati mwingine wowote, tunaihitaji Nowruz; Nowruz inayonyesha umoja kwa dunia.”
-
Jenerali Qaani: Iran itawashangaza wengi katika medani ya vita
Mar 21, 2026 06:22Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Mrengo wa Haki utaendelea kuwa na uwezo na nguvu zaidi kila siku, na kwamba Iran itawashangaza wengi katika uwanja wa vita na utawala wa Kizayuni pamoja na Marekani.
-
Mkurugenzi wa zamani wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi cha Marekani: Mashambulizi ya Washington yamewafanya Wairani Kuungana Zaidi
Mar 21, 2026 06:18Mkurugenzi wa zamani wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi cha Marekani amekiri kwamba viongozi wakuu wa utawala wa Kizayuni na washirika wake wanaochochea vita wa Marekani ndio walimshinikiza rais wa nchi hiyo kuishambulia Iran.
-
Araqchi: Kushiriki Uingereza katika mashambulizi dhidi ya Iran kutasajiliwa katika historia ya uhusiano wa nchi mbili
Mar 20, 2026 08:10Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu na mwenzake wa Uingereza, Yvette Cooper, kuhusu taathira za vita vya kulazimishwa vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na hali ya mambo ya sasa katika eneo la Magharibi mwa Asia.