-
Qalibaf: Hatua ya Australia dhidi ya Iran haitaweza kuzuia ushawishi wa IRGC
Nov 30, 2025 12:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amelaani vikali hatua ya serikali ya Australia ya kuliweka katika orodha nyeusi Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akibainisha kuwa hatua hiyo haitaweza kuzuia ushawishi wa IRGC.
-
Biashara ya nje ya Iran yapindukia dola bilioni 76.5 kuanzia Machi hadi Novemba
Nov 30, 2025 12:15Biashara ya nje ya Iran katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu kwa mujibu wa kalenda ya Iran ya Hijria Shamsia yaani (Kuanzia Machi 21, 2025 hadi Novemba 21 mwaka huu) imefikia tani milioni 131.054, yenye thamani ya dola bilioni 76.537.
-
Barua ya Pezeshkian kwa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina
Nov 30, 2025 07:42Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina ya tarehe 29 Novemba, Rais wa Iran ametangaza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inalichukulia suluhu pekee la kikanuni la kadhia ya Palestina kuwa ni kukomesha uvamizi wa kupangwa wa ardhi ya kihistoria ya watu wa Palestina, kurejea wakimbizi wa Kipalestina, na kutekeleza haki yao ya kujitawala.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Mshikamano, Iran yasema: Palestina ni jeraha kubwa zaidi linaloungulisha dhamiri ya wanadamu
Nov 30, 2025 03:19Kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Watu wa Palestina, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitizia tena uungaji mkono usioyumba wa Jamhuri ya Kiislamu kwa wananchi madhulumu wa Palestina, ikiielezea hali yao kama "jeraha kubwa zaidi linaloungulisha dhamiri ya wanadamu."
-
Mkuu wa Jeshi: Iran iko tayari kutoa jibu kali kwa vitisho vya popote pale
Nov 29, 2025 13:13Kamanda Mkuu wa Jeshi amesema, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeshajiweka tayari kikamilifu kutoa jibu kali kwa tishio lolote dhidi ya maslahi yake ya taifa, na kusisitiza kwamba mkakati wa ulinzi wa Iran umejengwa juu ya msingi wa kuzuia hujuma.
-
Wanafunzi wa Iran wang'ara katika Mashindano ya Hisabati ya Marekani
Nov 29, 2025 07:10Wanafunzi wa Iran washinda dhahabu na fedha katika Mashindano ya Hisabati ya Marekani (AMO) ya mwaka huu wa 2025.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran imejipanga kutoa majibu makali zaidi ikishambuliwa kijeshi
Nov 29, 2025 03:27Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo katika kiwango cha juu zaidi cha utayari wa kijeshi kuwahi kushuhudiwa, akisisitiza kuwa kila kitendo cha uhasama kitapokewa kwa majibu “makali na mazito kuliko wakati wowote uliopita.”
-
Iran yasusia droo ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia kukataliwa viza na Marekani
Nov 29, 2025 02:48Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (FFIRI) limetangaza kuwa halitohudhuria droo ya Kombe la Dunia FIFA 2026 wiki ijayo mjini Washington, baada ya Marekani kukataa kutoa viza kwa baadhi ya wajumbe wa msafara wao.
-
Iran yalaani jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Nov 28, 2025 11:45Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imelaani vikali jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mauaji na mateso ya wakaazi wa eneo hilo.
-
Araghchi: Mazungumzo maana yake ni mazungumzo, si ukidteta; Marekani ijirekebishe kwanza
Nov 28, 2025 06:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kuwa muwazi kuhusu mazungumzo, na msimamo wake utaendelea kuwa ule ule kwamba mazungumzo maana yake ni mazungumzo, si udikteta. Inaweza kufikiria kufanya mazungumzo na Marekani, lakini tu ikiwa Washington itabadilika na kuacha madai yake yasiyo na mantiki. Iingie kwenye mazungumzo ya kuheshimiana na ya usawa si ya kufanyiana udikteta.