-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Hija ya mwaka huu ni Hija ya kujitenga na adui Mzayuni na waungaji mkono wake
May 06, 2024 08:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kwa kuzingatia Aya za Qur'ani Tukufu na kumbukumbu ya jina lililobarikiwa la Nabii Ibrahim (AS), ibada ya Hija ya mwaka huu inapaswa kuwa zaidi ya Hija ya kila mwaka, na inabidi iwe Hija na kutangaza kujitenga na adui wa Waislamu, Mzayuni mtenda uhalifu na wafuasi wake.
-
Rais wa Iran: Matukio ya Gaza yamefichua sura halisi ya Magharibi
May 06, 2024 07:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matukio ya Gaza yamefichua sura halisi ya Wamagharibi na kuonyesha mgongano uliopo kati ya kambi ya watu sharifu, na tabaka la wanafunzi wenye uelewa wa vyuo vikuu na mrengo wa uovu wa viongozi wakorofi na wanaokanyaga sheria, haki na uhuru wa binadamu wa nchi za Magharibi.
-
Iran yatathmini njia za kuimarisha uhusiano wake na Tunisia
May 06, 2024 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inachunguza njia na majukwaa ya kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili kati yake na Tunisia.
-
Askofu Mkuu wa Azerbaijan, Iran alaani kuvunjiwa heshima Qurani Sweden
May 06, 2024 03:41Askofu Mkuu wa Kanisa la Armenia katika eneo la Azerbaijan la kaskazini magharibi mwa Iran ameashiria kitendo cha karibuni cha kuchoma moto nakala ya Qur'ani tukufu nchini Sweden na kulaani vitendo hivyo vya kuyavunjia heshima matukufu ya kidini.
-
Mottaki: Operesheni dhidi ya Israeli ilifichua 'sehemu ndogo ya uwezo wa Iran'
May 05, 2024 08:53Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Iran Manouchehr Mottaki anasema operesheni ya kulipiza kisasi ya Iran dhidi ya Israel ilionyesha "sehemu ndogo" tu ya uwezo wa Iran wa kukabiliana na utawala huo ghasibu.
-
Iran yapongeza uamuzi wa Uturuki kukata uhusiano wa kibiashara na utawala wa Israel
May 05, 2024 08:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza uamuzi wa serikali ya Uturuki wa kukata uhusiano wa kiuchumi na kibiashara na utawala wa Kizayuni wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Safari ya Abdollahian Gambia kushiriki mkutano wa OIC wa kujadili changamoto za Waislamu hasa Palestina
May 05, 2024 03:26Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yupo Banjul, mji mkuu wa Gambia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.
-
Irani, Misri zinajadili kukuza uhusiano, kukomesha ukatili wa Israel
May 05, 2024 03:15Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wamejadili njia zinazowezekana za kustawisha uhusiano wa pande mbili na kukomesha jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina hususan katika Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian: Utawala wa Kizayuni wa Israel kamwe hauwezi kuwa halali kwa kupita zama
May 05, 2024 00:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Utawala wa Israel si serikali halali na utawala huo wa kibaguzi unaoukalia kwa mabavu Palestina kamwe hauwezi kuwa halali kwa kupita zama.
-
Meli ya kivita ya Iran yaelekea ncha ya kusini ya sayari ya dunia
May 05, 2024 00:42Meli ya kivita ya iliyoundwa ndani ya nchi na wataalamu Wairani inayomilikiwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) imevuka mstari wa latitudo nyuzi sifuri, Ikweta, na kuelekea katika ncha ya kusini ya sayari ya dunia.