-
Balozi wa Iran Syria: Tutajibu mapigo kwa Israel sawa na ilivyoshambulia ubalozi wetu mdogo
Apr 02, 2024 03:23Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo sawa na utawala wa Kizayuni wa Israel ulivyoshambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus, Syria.
-
Shambulio la kigaidi la Israel katika ubalozi mdogo wa Iran Damascus lalaaniwa kimataifa
Apr 02, 2024 03:00Russia, Pakistan, Oman, Imarati na Qatar zimeungana na mataifa mengine kuulaani utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kufuatia shambulio la kigaidi ulilofanya utawala huo katika ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus, Syria.
-
Iran: Uchunguzi wa kimataifa ufanyike kuhusu jinai ilizofanya Israel katika Hospitali ya Al-Shifa
Apr 01, 2024 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitizia ulazima wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na uharibifu, utesaji na mauaji yaliyofanywa na jeshi la Kizayuni katika Hospitali ya Al-Shifa huko Ukanda wa Ghaza.
-
Raisi: Leo hii utawala wa Kizayuni unatumia vibaya mizozo baina ya Waislamu
Apr 01, 2024 03:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lau kama nchi za Waislamu zingeacha kuitegemea Marekani na madola ya kibeberu na badala yake kuishi kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu, basi leo hii wananchi wa Ghaza na Wapaletina wasingtelikuwa wananyanyaswa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah
Apr 01, 2024 03:22Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za maana kimataifa ili kuzuia mashambulizi ya kivamizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Rais Raisi ahimiza kutekelezwa kivitendo mafundisho ya Qur'ani Tukufu
Apr 01, 2024 01:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuzingatia mafundisho wa Qur'ani Tukufu katika nyuga zote ni jambo la dharura kwa ajili ya mafanikio ya wanadamu ya duniani na Akhera.
-
Kan'ani: Wazayuni wanafanya jinai Gaza mbele ya macho ya walimwengu
Mar 31, 2024 23:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema jinai za kutisha za kivita zinazofanywa na Wazayuni eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina zinaendelea mbele ya macho ya walimwengu.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Iran haina silaha za nyuklia
Mar 31, 2024 07:53Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ametenganisha baina ya kategoria ya kurutubisha madini ya urani na mchakato wa uundaji silaha za nyuklia na kutangaza kuwa Iran haitengenezi silaha za nyuklia licha ya kuwa na akiba ya urani iliyorutubishwa.
-
Maadhimisho ya YaumuLlah, Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mar 31, 2024 06:28YaumuLlah ya tarehe 12 Farvardin mwaka 1358 Hijria Shamsia (iliyosadifiana na Aprili Mosi, 1979), yenye maana ya Siku ya Mwenyezi Mungu, si siku rasmi tu katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, bali ni siku kubwa pia kwa wanyonge duniani na kwa harakati za ukombozi pamoja na mataifa yanayopambana na dhulma, uistikbari na ukoloni.
-
Jihad Islami: Wapalestina hawangeweza kusimama dhidi ya Israel bila ya kuungwa mkono na Iran
Mar 31, 2024 03:47Kiongozi mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina ametangaza bayana kuwa watu wa Palestina hawangeweza kusimama dhidi ya utawala haramu wa Israel kama kusingekuwa na uungaji mkono kamili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.