-
Kan'ani: Jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu zinapaswa kutekeleza wajibu wao wa kisheria kuisaidia Yemen
May 31, 2024 22:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka jamii ya kimataifa na mataifa ya Kiislamu kutekeleza wajibu wao wa kisheria na kibinadamu wa kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Yemen na kupinga hatua za kichochezi na za chokochoko za Marekani na Uingereza katika eneo hili.
-
Iran na Saudia zasisitiza kupanua na kustawisha uhusiano wao
May 31, 2024 22:51Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Umri wa Israel unakaribia kufikia mwisho
May 31, 2024 10:22Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatua ya utawala haramu wa Israel ya kushambulia Ukanda wa Gaza hususan mji wa Rafah umeufanya ukaribie kufikia mwishoni wa umri wake.
-
Larijani na Jalili wajiandikisha kugombea urais Iran
May 31, 2024 04:24Zoezi la kujiandikisha kwa ajili ya kuwania urais katika uchaguzi wa mapema mwezi ujao nchini Iran, limeingia siku ya pili leo ambapo wanasiasa mashuhuri wamejiandikisha kuchukua nafasi ya urais kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raeisi katika ajali ya helikopta.
-
Kamanda wa IRGC: Israel iliweka tayari mamia ya ndege wakati wa operesheni ya Iran
May 31, 2024 04:14Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel uliweka mamia ya ndege za kivita katika hali ya tahadhari kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran mwezi uliopita.
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa wanachuo wa Marekani wanaotetea Palestina
May 31, 2024 03:58Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika barua aliyowaandikia wanachuo wenye utu wanaotetea wananchi wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani, ameonyesha mshikamano wake na maandamano ya wanachuo hao dhidi ya uzayuni na kuwataja kuwa sehemu ya mrengo wa muqawama.
-
Katibu Mkuu wa UN ashiriki kikao cha kumunezi hayati Raisi katika Baraza Kuu
May 30, 2024 23:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepongeza ufahamu wa kisiasa wa hayati Ebrahim Raisi wakati wa kikao kilichofanyika katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumuenzi rais huyo wa Iran aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta akiwa a wenzake kadhaa.
-
Kiongozi Muadhamu: Muqawama ni utambulisho mzuri sana wa Syria
May 30, 2024 09:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama ni utambulisho mzuri na bora wa Syria na akaeleza kwamba, nafasi maalumu iliyonayo Syria katika eneo ni kutokana na utambulisho huu na sifa hiyo muhimu inapaswa kuhifadhiwa.
-
Usajili wa wagombea wa uchaguzi mapema wa rais wa Iran waanza
May 30, 2024 05:55Iran leo imezindua mchakato wa siku tano wa usajili kwa watu wanaotarajia kugombea katika uchaguzi wa 14 wa rais kuchukua nafasi ya Ebrahim Raisi aliyekufa shahidi maisha katika ajali ya helikopta mapema mwezi huu.
-
Kiongozi Muadhamu awaambia wanachuo US: Mpo katika upande sahihi wa historia
May 30, 2024 03:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mwamko wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Marekani dhidi ya utawala katili wa Israel na kusisitiza kuwa, wanachuo hao wa US wamesimama katika upande sahihi wa historia.