-
Kupunguza umaskini na kuimarisha uchumi nchini ni urithi mwingine wa Shahid Rais Raisi
May 30, 2024 02:22Ehsan Khanduzi, msemaji wa masuala ya kiuchumi wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Dunia, kiwango cha umaskini nchini kimepungua kwa asilimia 7.4 kutoka asilimia 29.3 hadi 21.9.
-
Kamati Kuu ya kuchunguza ajali ya helikopta iliyombeba Shahidi Ebrahim Raisi yatoa ripoti ya pili
May 30, 2024 00:10Kituo cha Mawasiliano cha Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimetoa ripoti ya pili ya Kamisheni Kuu ya kuchunguza sababu za ajali ya helikopta iliyosababisha kifo cha Rais Seyed Ebrahim Raisi, na ujumbe ulioandamana naye.
-
Waziri wa Uchumi: Iran imefikia hatua ya ukuaji endelevu wa kiuchumi
May 29, 2024 03:53Waziri wa Masuala ya Uchumi na Fedha wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran imefikia hatua ya ukuaji thabiti wa uchumi.
-
Mwanadiplomasia Shahidi Hossein Amir abdollahian
May 29, 2024 03:34Tumeawandalia makala hii ya wiki ambayo itatupia jicho shakhsia ya Shahidi Hossein Amir Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran. Hossein, kama alivyokuwa akisema; ni mtu wa kijijini aliyekuwa akipenda tini, na Mwenyezi Mungu anaapa kwa tini na zeituni katika Qur'ani kwamba wale walioamini na wakatenda mema watapata malipo makubwa Kwake.
-
Kuongezeka biashara ya nje ya Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 29, 2024 00:55Takwimu zilizochapishwa na Kituo cha Takwimu cha Umoja wa Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa mabadilishano ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wanachama 27 wa umoja huo yaliongezeka kwa asilimia 8 katika robo ya kwanza ya mwaka huu ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka iliopita.
-
YouTube 'yajigonga' katika dai la uhuru wa maoni kwa kuifunga akaunti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
May 29, 2024 00:10Mtandao wa kijamii wa YouTube umeifuta akaunti rasmi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa kisingizio cha kukiuka kanuni zake kufuatia hatua ya akaunti hiyo kuweka mkanda wa video wa lugha ya Kiingereza wenye anuani "Resistance, the only option for Palestine", yaani Muqawama ndilo chaguo pekee kwa Palestina.
-
Kuanza mchakato nchini Iran wa kufanyika uchaguzi wa Rais wa kabla ya wakati
May 28, 2024 04:59Iran imeanzisha mchakato wa uchaguzi wa mapema wa rais ambao umepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni.
-
Wabunge wamchagua Qalibaf kuwa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge)
May 28, 2024 04:48Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) wamemchagua Muhammad Bagheri Qalibaf kuwa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu katika mkutano wa kwanza wa bunge la 12.
-
Ali Bagheri Kani: Uhusiano imara miongoni mwa nchi jirani utapelekea kufurushwa nchi vamizi Asia Magharibi
May 28, 2024 04:19Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa uhusiano imara miongoni mwa nchi jirani za kanda hii ni njia pekee ya kuzifurusha nchi vamizi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kaimu Rais wa Iran asisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman
May 28, 2024 00:54Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja uhusiano wa Iran na Oman kuwa wa kihistoria na wa kidugu na kusema: Iwapo uwezo uliopo utatumika vizuri, maingiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya Iran na Oman yataongezeka hadi mara kadhaa ya kiwango cha sasa.