-
Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu
May 27, 2024 09:18Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linafungamana kikamilifu na stratejia na mkakati wake wa kuimarisha ushirikiano wake na mataifa ya Kiislamu.
-
Araqchi: Vitisho vya nyuklia vya Israel huenda vikabadilisha itikadi ya Iran kuhusu nyuklia
May 27, 2024 08:28Katibu wa Baraza la Kistratajia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema kuwa, vitisho vya utawala haramu wa Israel huenda vikaifanya Iran ibadili itikadi yake kuhusiana na kadhia nzima ya nyuklia.
-
Kuendelea uthabiti wa sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 27, 2024 06:57Baada ya kufa shahidi Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Hossein Amir Abdullahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya 13, suala la kudumishwa uthabiti wa siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepewa mazingatio makubwa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge linapaswa kuleta utulivu na matumaini
May 27, 2024 04:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuanza kazi Awamu ya 12 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge), amesisitiza kuhusu kuwepo Bunge lenye uwiano, mwingiliano wenye nidhamu na mshikamano na mihimili mingine ya dola na pia ndani yake liwe lenye usahihi na subira.
-
Kaimu Rais: Iran haitasitisha juhudi za kusaidia Sudan kustawi
May 27, 2024 02:41Kaimu Rais wa Iran Mohammad Mokhber anasema Tehran haitasitisha juhudi za kusaidia Sudan kuweza kujitegemea, kupata maendeleo na amani.
-
Iran yaanzisha mchakato rasmi wa uchaguzi wa rais
May 27, 2024 02:34Iran imeanzisha mchakato wa uchaguzi wa mapema wa rais ambao umepengwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni wiki moja baada ya Rais Ebrahim Raisi kufa shahidi katika ajali mbaya ya helikopta kaskazini magharibi mwa nchi mnamo Mei 19.
-
"Vitisho vya nyuklia vya Israel vitabadilisha mlingano wa usalama katika eneo"
May 26, 2024 22:50Katibu wa Baraza la Kistratajia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema vitisho vinavyotolewa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kutumia silaha za nyuklia huenda vikawalazimisha wengine kuangalia upya sera zao za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mokhber: Mkakati wa Iran wa kuunga mkono Muqawama hautabadilika baada ya kufa shahidi Sayyid Raisi
May 26, 2024 07:16Rais wa muda wa Iran amesema stratejia kuu ya Jamhuri ya Kiislamu katika kutoa msukumo na uungaji mkono kwa vuguvugu la Muqawama hususan kwa makundi ya Muqawama ya Palestina haitabadilika kwa sababu ya mabadiliko ya watu.
-
Ejei: Sera za ndani na nje za Iran zitaendelea kuwa na nguvu zaidi kuliko hapo awali
May 26, 2024 03:53Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na Mkuu wa Baraza Kuu la Mahakama la Iraq kuwa; Sera za ndani na nje za Iran zitaendelea kuimarika zaidi kuliko hapo awali.
-
Iran yapongeza maadhimisho ya "Siku ya Afrika"
May 26, 2024 03:41Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza na kutoa mkono wa kheri kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day).