-
Iran yapongeza maadhimisho ya "Siku ya Afrika"
May 26, 2024 03:41Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza na kutoa mkono wa kheri kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day).
-
Kusifiwa kimataifa Shahidi Ebrahim Raisi
May 26, 2024 01:12Tarehe 30 mwezi huu wa Mei, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) litafanya marasimu ya kuenzi na kumkumbuka marehemu Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri wa Kiislamu Iran aliyekufa shahidi akiwa na viongozi wengine wa ngazi za juu kitaifa, katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Nasrullah: Rais Raisi alikuwa na imani kubwa na piganio tukufu la Palestina na Muqawama
May 26, 2024 01:10Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema, Hayati Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi alikuwa mwanasiasa mwenye "imani kubwa" na kadhia ya Palestina na Muqawama wa eneo.
-
Rais wa mpito: Sera ya Raisi ya kuimarisha uhusiano na Iraq itaendelea
May 26, 2024 00:55Rais wa mpito wa Iran Mohammad Mokhber amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendeleza kwa uthabiti sera ya hayati rais Ebrahim Raisi ya kukuza uhusiano na Iraq.
-
"Mahudhurio makubwa katika mazishi ya Raisi na wenzake, dhihirisho la uaminifu wa Wairani kwa Mapinduzi"
May 25, 2024 08:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mahuhudurio makubwa ya wananchi Waislamu wa Iran kwenye mazishi na misafara ya kuwaaga na kuwaenzi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na mashahidi wenzake yameidhihirishia dunia kuwa, Wairani ni waaminifu na wamefungamana na nara za Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kaimu Rais wa Iran azungumza na Mohammad Bin Salman wa Saudi Arabia
May 25, 2024 04:42Kaimu rais wa Iran Mohammad Mokhber amesema eneo la Asia Magharibi linahitaji sana uboreshaji uhusiano kati ya Iran na Saudi Arabia.
-
Putin: Misingi ya serikali ya Iran ni madhubuti na imara
May 25, 2024 04:37Ikiwa ni katika kuzungumzia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na wenzake katika ajali ya helikopta iliyotokea huko kaskazini magharibi mwa nchi , Rais wa Russia amesema, hatarajii mabadiliko yoyote kutokea katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa sababu misingi ya serikali ya Iran ni thabiti na imara.
-
Khitma ya shahidi Raisi na wenzake katika kikao cha wajumbe wa OIC
May 25, 2024 04:00Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva imeandaa kikao cha Khitma kwa ajili ya marehemu Rais wa Iran Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian, waliokufa shahidi katika ajali ya helikopta kaskazini magharibi mwa Iran siku ya Jumapili.
-
Ujumbe unaotokana na kuwepo kwa wingi viongozi wa kigeni mjini Tehran kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu rais wa Iran
May 25, 2024 02:38Viongozi wa nchi 68 na mashirika ya kieneo na kimataifa wametoa heshima zao za mwisho mjini Tehran kwa rais aliyeuawa shahidi akiwa na waziri wa mambo ya nje pamoja na viongozi wengine kwenye ajali ya helikopta iliyotokea kaskazini magharibi mwa nchi siku ya Jumapili.
-
Rais Samia aungana na viongozi wa mataifa mengine kumuomboleza Ebrahim Raisi
May 25, 2024 00:11Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana na viongozi wa mataifa mengine duniani kumuomboleza Ebrahim Raisi wa Iran.