-
Haki halali na ya kisheria ya Iran kujibu jinai za Wazayuni
Apr 11, 2024 04:57Wawakilishi wa nchi 121 wanachama wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM mjini New York wametoa taarifa wakilaani hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kidiplomasia na wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus Syria, na kutangaza mshikamano wao na wananchi, serikali ya Iran na familia za wahanga wa shambulio hilo.
-
Amir-Abdollahian: Israel imeongeza kasi ya kuporomoka kwake kwa kuwaua watoto na wajukuu wa kiongozi wa HAMAS
Apr 11, 2024 04:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanafamilia wa kiongozi wa Hamas yanaongeza kasi ya kuporomoka kusio na shaka kwa utawala huo.
-
Rais Raisi: Kukata uhusiano wa kiuchumi na kisiasa ndiyo silaha bora ya kuipigisha magoti Israel
Apr 10, 2024 23:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kukatwa uhusiano wa kiuchumi na kisiasa wa nchi za Waislamu na utawala wa Kizayuni ndiyo silaha bora ya kukomesha jinai za Wazayuni huko Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Ghaza ndiyo kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa
Apr 10, 2024 10:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Ghaza ni suala ambalo haliwezi kufumbiwa macho kwani ndiyo kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa, hivyo kila mmoja wetu anapaswa kutekeleza vizuri majukumu yake kuhusu Ukanda wa Ghaza.
-
Kiongozi Muadhamu: Israel ilifanya makosa, 'itaadhibiwa' kwa kushambulia ubalozi mdogo wa Iran
Apr 10, 2024 04:22Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Iran, mwenyeji anayefaa wa kuwahudumia wakimbizi
Apr 10, 2024 00:09Kupitia taarifa, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza msimamo wa serikali ya Tehran wa kuendelea kuwahifadhi kwa ukarimu wahajiri na wakimbizi huku ikikanusha madai yanayotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusiana na kushinikizwa wakimbizi na raia wa kigeni nchini.
-
Raisi: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Apr 10, 2024 00:07Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imetumia unafasi yake kuunga mkono mauaji ya kimbari huko Gaza
Apr 09, 2024 08:41Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani imetumia sifa na nafasi yake kuunga mkono mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Abdollahian: Marekani inapasa kuwajibishwa kwa shambulio dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran
Apr 09, 2024 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa serikali ya Marekani ina jukumu na inapasa kubeba dhima kwa shambulio la kigaidi katika ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus lililofanywa na utawala wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Iran yasajili mafanikio 15 ya nyuklia katika sekta ya tiba
Apr 09, 2024 04:14Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa nchi hii imesajili mafanikio mapya 15 katika uwanja wa matibabu na dawa aina za Radiopharmaceutical.