-
Watu saba wasio raia wa Iran wauawa katika miripuko iliyotokea kusini mashariki mwa nchi
Jan 18, 2024 03:41Watu saba wasio raia wa Iran wameuawa katika miripuko kadhaa iliyotokea katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa nchi.
-
Iran: Marekani na Israel ndizo sababu kuu za ukosefu wa usalama Magharibi mwa Asia
Jan 17, 2024 10:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani na Israel ndizo chanzo kikuu cha ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Umuhimu wa uchaguzi katika mustakbali wa nchi na kushindwa njama za maadui wa Iran ya Kiislamu
Jan 17, 2024 08:01Uchaguzi wa awamu ya kumi na mbili ya Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge) na awamu ya sita ya Wanazuoni Wataalamu wa Kumchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi utafanyika tarehe Pili Marchi mwaka huu nchini Iran katika huku hali ya ndani na ya kimataifa ikizidisha maradufu umuhimu na udharura wake.
-
Marekani yatiwa kiwewe na shambulio la IRGC dhidi ya kituo cha Mossad
Jan 16, 2024 23:08Maafisa wa Marekani wameghadhabishwa mno na hatua ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kufanya shambulio la makombora dhidi ya kituo kikuu cha ujasusi cha shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad katika eneo la Kurdistan ya Iraq.
-
Kiongozi Muadhamu: Watu waliodhulumiwa wa Gaza wameweza kuathiri ulimwengu kwa mapambano yao
Jan 16, 2024 11:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika kikao cha maimamu wa Swala za Ijumaa kote Iran kuwa: Watu madhulumu na wenye nguvu wa Gaza wameweza kuwaathiri walimwengu kwa mapambano yao.
-
Operesheni ya IRGC dhidi ya magaidi ni kutetea raia na mamlaka ya kujitawala Iran
Jan 16, 2024 11:34Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) dhidi ya ngome za magaidi nchini Syria na kituo cha ujasusi cha utawala wa Israel nchini Iraq ni sehemu ya "adhabu ya haki" dhidi ya wanaokiuka usalama wa Iran baada ya shambulio baya la kigaidi katika mji wa Kerman.
-
Iran na India zatiliana saini makubaliano ya mwisho ya maendeleo ya bandari ya Chabahar
Jan 16, 2024 03:35Waziri wa Barabara na Maendeleo ya Miji wa Iran na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa India wamekubaliana kuendeleza Bandari ya Chabahar, iliyoko katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, Kusini Mashariki mwa Iran.
-
Makombora ya IRGC yazitwanga ngome za magaidi Syria na kituo cha ujasusi cha Mossad Kurdistan ya Iraq
Jan 16, 2024 00:40Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, limevurumisha makombora ya balestiki kulenga ngome za magaidi wa Syria, waliohusika katika mashambulizi ya hivi karibuni nchini Iran, pamoja na kituo cha ujasusi cha Israel katika eneo la Kurdistan ya Iraq.
-
Abdollahian azionya Marekani na Uingereza: Komesheni mara moja vita dhidi ya Yemen
Jan 15, 2024 23:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezionya Marekani na Uingereza na kuzitaka zisitishe mara moja vita dhidi ya Yemen.
-
Raisi: Hujuma za Marekani dhidi ya Yemen zimefichua dhati yake ya shari
Jan 15, 2024 04:35Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Yemen na kusema kuwa, hujuma hizo zimefichua dhati ya Washington ya kupenda shari, chokochoko na kukanyaga haki za binadamu.