-
Amir-Abdollahian: Makundi ya muqawama katika eneo hili yanafanya mambo yao kwa uhuru
Jan 15, 2024 04:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa utawala wa Kizayuni umeshindwa kufanikisha lengo lake hata moja katika uvamizi wake dhidi ya Ghaza na kusisitiza kuwa, makundi ya muqawama katika ukanda huu ikiwemo Yemen yanafanya mambo yao kwa uhuru na kwa kuzingatia maslahi yao, si kwa amri kutoka kwa upande wowote mwingine.
-
Ebrahim Raisi: Palestina ni kadhia ya kwanza ya ulimwengu
Jan 14, 2024 10:00Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Palestina imegeuka na kuwa kadhia ya kwanza ulimwengu wa mwanadamu.
-
Abdollahian: Kama Marekani inataka amani, iache kuunga mkono jinai za Israel
Jan 12, 2024 23:39Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuacha mara moja kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni badala ya kufanya mashambulizi nchini Yemen kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kupatikana amani kwenye kona zote za ukanda huu.
-
Abu Turabi Fard: Leo Yemen inaungwa mkono kila upande; Ghaza haishindiki
Jan 12, 2024 08:26Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema kuwa, leo hii Yemen shujaa inaungwa mkono kila upande na kwamba licha ya kupita siku 100 tangu utawala wa Kizayuni uanzishe jinai zake kila upande lakini imeshindwa kufikia malengo yake huko Ghaza.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na mawaziri wenzake wa Saudia na Norway kuhusu Gaza
Jan 12, 2024 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia na Norway kuhusiana na kupanua uhusiano wa pande mbili na matukio yanayojiri katika Ukanda wa Gaza.
-
Kan'ani: Mahakama ya The Hague isisalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuhusu Palestina
Jan 11, 2024 23:14Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) inapaswa kuchunguza kiadilifu shauri la Afrika Kusini na baadhi ya serikali nyingine dhidi ya utawala wa Kizayuni kuhusiana na jinai dhidi ya watu wa Gaza na isisalimu amri mbele ya mashinikizo ya kisiasa na yasiyo yza kisiasa ya Marekani.
-
Jeshi la Wanamaji la Iran lakamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama
Jan 11, 2024 12:06Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuikamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama katika Bahari ya Oman.
-
Profesa wa Iran; Mvumbuzi bora wa mwaka 2023
Jan 11, 2024 04:18Profesa Msaidizi katika Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Sharif cha Tehran, Iran ameshinda Tuzo Bora kwa jina la (Best Patent Award 2023) ya Kamati ya Kudumu ya Ushirikiano wa Kisayansi na Kiteknolojia ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (COMSTECH).
-
Iran yajiunga na kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel kuhusu mauaji ya kimbari ya Gaza
Jan 11, 2024 01:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuunga mkono uamuzi wa Afrika Kusini wa kuwasilisha kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Diplomasia ya Qur'ani ina nafasi kubwa ya kuleta mazungumzo baina ya dini tofauti
Jan 11, 2024 00:39Mshauri wa Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema kuwa, diplomasia ya Qur'ani ina nafasi kubwa katika kueneza utamaduni wa mazungumzo baina ya wafuasi wa dini tofauti kama ambavyo ina nafasi kubwa sana ya kuleta umoja na mshikamano kati ya Waislamu wenyewe kwa wenyewe.