-
Mkutano wa dharura wa mabunge ya nchi za Kiislamu wafanyika Tehran kujadili Gaza
Jan 10, 2024 08:56Spika wa Bunge la Iran Mohammad Baqer Qalibaf anasema utawala wa Kizyauni wa Israel uliasisiwa kwa mauaji ya kimbari na vita na hivyo kuendelea kuwepo kwake kunategemea kutekelezwa jinai hizo za kutisha.
-
Iran na Russia: Marekani inatafuta visingizio vya kupanua uwepo wake katika eneo
Jan 10, 2024 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov wamesema Marekani inajaribu kubuni visingizio ili kupanua uwepo wake katika eneo. Wanadiplomasia hao wakuu wa Tehran na Moscow wametoa indhari hiyo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu jana Jumanne.
-
Kufichuliwa nafasi ya jasusi wa Uholanzi katika hujumu dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran
Jan 10, 2024 02:34Gazeti la Volkskrant la Uholanzi limefichua kuwa, raia mmoja wa nchi hiyo alikuwa na mchango mkubwa katika operesheni ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuhujumu kituo cha kurutubisha uranium cha Natanz nchini Iran.
-
Damu safi ya watu wa Gaza itaharakisha mkondo wa kuangamia Israel
Jan 10, 2024 01:48Kamanda mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu Iran anasema utawala haramu wa Israel unamwaga damu ya Wapalestina wasio na hatia ili kufidia "kushindwa kwake kwa fedheha" katika vita vya Gaza, akionya kwamba ukatili huo utaharakisha mkondo wa kuangamia utawala huo.
-
Damu safi ya watu wa Gaza itaharakisha mkondo wa kuangamia Israel
Jan 10, 2024 01:07Kamanda mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu Iran anasema utawala haramu wa Israel unamwaga damu ya Wapalestina wasio na hatia ili kufidia "kushindwa kwake kwa fedheha" katika vita vya Gaza, akionya kwamba ukatili huo utaharakisha mkondo wa kuangamia kwa utawala huo.
-
Indhari ya balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa kwa Marekani kuhusu vitendo vya kichochezi
Jan 09, 2024 23:12Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika kikao cha Baraza la Usalama kuhusu Bahari Nyekundu na kuonya dhidi ya hatua zozote za uchochezi zinazofanywa na Wamarekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Ghaza ni mfano wa wazi wa nguvu kubwa za wananchi
Jan 09, 2024 08:18Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, njama kubwa za maadui ni kuwatoa uwanjani wananchi wa Iran na kwamba Ukanda wa Ghaza hivi sasa ni mfano wa wazi na wa kivitendo wa nguvu kubwa za wananchi.
-
de Volkskrant: Uholanzi ilihusika katika hujuma ya virusi vya Stuxnet ya Marekani, Israel dhidi ya Iran
Jan 09, 2024 04:22Gazeti la de Volkskrant la Uholanzi limeripoti kuwa, raia mmoja wa nchi hiyo alihusika moja kwa moja katika operesheni ya Marekani na Wazayuni ya kuhujumu kituo cha nyuklia cha Natanz nchini Iran.
-
Amir Abdollahian: Wazayuni wanachukia vyombo vya habari
Jan 09, 2024 04:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran sambamba na kuwaenzi mashahidi wa vyombo vya habari waliouawa na Israel katika vita vya Gaza amesema: Wazayuni wanavichukia vyombo vya habari.
-
Raisi: Daesh kama walivyo Wazayuni, linachofuatilia ni kuua wanawake na watoto wasio na hatia
Jan 08, 2024 23:31Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kundi la kigaidi la lililolelewa na Marekani na utawala wa Kizayuni kama walivyyo Wazayuni huko Gaza, lenyewe pia linafuatilia kuua wanawake na watoto wasio na hatia.