-
Kaani: Ugaidi ni hatari iliyoenea kwa serikali na mataifa yote
Jan 08, 2024 08:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa ugaidi ni hatari kubwa kwa serikali na mataifa yote na kwa amani na usalama wa dunia. Nasser Kanani ameeleza haya katika radiamali yake kwa shambulio la kigaidi lililotekelezwa katika maziara ya mashahidi wa mji wa Kerman huko kusini mashariki mwa Iran.
-
Kukwepa uwajibikaji na kimya cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jan 08, 2024 08:41Katika kuendeleza misimamo inayozusha mizozo ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amepuuza jinai zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza na kudai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapaswa kukomesha vitendo vyake vinavyovurunga amani na uthabiti wa eneo.
-
Amir-Abdollahian: Hakuna lengo hata moja la utawala wa Kizayuni Gaza lililoweza kufikiwa
Jan 08, 2024 02:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hakuna hata moja kati ya malengo ambayo utawala ghasibu wa Kizayuni unayafuatilia katika Ukanda wa Gaza ambalo limeweza kufikiwa.
-
Kamanda Qaani amhutubu Haniya: Vikosi vya Muqawama vitakuwa jinamizi kwa utawala wa Kizayuni muuaji wa watoto
Jan 07, 2024 09:19Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, vikosi vya Muqawama vitageuka kuwa jinamizi kwa utawala wa Kizayuni muuaji wa watoto.
-
Amir Abdollahian: Kuna ulazima wa jamii ya kimataifa kukabiliana ipasavyo na ugaidi
Jan 07, 2024 04:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir Abdollahian, amesitiza ulazima wa kufanyika juhudi kubwa zaidi za jamii ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana ipasavyo na ugaidi.
-
Ebrahim Raisi: Sera ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutetea madhulumu
Jan 07, 2024 01:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa za Iran ni kuwatetea na kuwalinda wanaodhulumiwa na kupaza sauti dhidi ya madhalimu.
-
Magaidi wote waliohusika katika shambulio la Kerman wakamatwa
Jan 07, 2024 01:00Magaidi wote waliohusika katika shambulio la kigaidi la hivi karibuni katika mji wa Kerman kusini mashariki mwa Iran wamekamatwa.
-
Kikosi cha Wanamaji cha IRGC Iran chapokea meli mpya ya kivita yenye uwezo mkubwa kiteknolojia
Jan 06, 2024 07:31Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kimepokea zana mbalimbali za kijeshi zilizoundwa nchini ikiwa ni pamoja na meli ya kivita ya Abu Mahdi al-Muhandis ambayo ina teknolojia ya hali ya juu ya kukwepa rada.
-
Mtaalamu wa UN alaani vikali hujuma ya kigaidi katika mji wa Kerman
Jan 06, 2024 07:22Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran Javaid Rehman amelaani vikali shambulio dhidi ya mjumuiko wa kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa kamanda wa ngazi za juu nchini Iran Shahidi Qassem Soleimani katika mji wa Kerman.
-
Ebrahim Raisi: Usalama wa ukanda huu mzima una deni kwa Luteni Jenerali Soleimani
Jan 06, 2024 03:22Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usalama na amani iliyopo leo katika eneo hili inatokana na jihadi kubwa ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.