-
Mtaalamu wa UN alaani vikali hujuma ya kigaidi katika mji wa Kerman
Jan 06, 2024 07:22Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran Javaid Rehman amelaani vikali shambulio dhidi ya mjumuiko wa kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa kamanda wa ngazi za juu nchini Iran Shahidi Qassem Soleimani katika mji wa Kerman.
-
Ebrahim Raisi: Usalama wa ukanda huu mzima una deni kwa Luteni Jenerali Soleimani
Jan 06, 2024 03:22Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usalama na amani iliyopo leo katika eneo hili inatokana na jihadi kubwa ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Iran yawakamata washukiwa kadhaa wanaohusishwa na hujuma ya kigaidi Kerman
Jan 05, 2024 23:39Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran Ahmad Vahidi ametangaza kukamatwa kwa washukiwa kadhaa wa shambulio la kigaidi la Januari 3 katika mji wa Kerman, ambapo watu 89 waliuawa shahidi na wengine wasiopungua 285 walijeruhiwa.
-
Iran inaitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua kali dhidi ya ugaidi
Jan 05, 2024 23:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema jamii ya kimataifa inahitaji kuchukua hatua kali ili kupambana na ugaidi.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kundi la kigaidi la Daesh ni chombo cha Marekani na Israel
Jan 05, 2024 11:52Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amezungumzia jinai ya kigaidi ya Kerman na kukiri kundi la kigaidi la ISIS au Daesh kuhusika na hujuma hiyo na kusema: ISIS ni chombo cha Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Iran yafanya mazishi ya pamoja ya wahanga wa ugaidi Kerman; yaahidi kuwasaka magaidi popote walipo
Jan 05, 2024 08:44Wananchi wa Iran leo Ijumaa wamefanya shughuli ya mazishi ya pamoja kwa wahanga wa miripuko miwili ya kigaidi iliyotokea Jumatano katika mji wa Kerman kusini mashariki mwa nchi huku kamanda wa ngazi ya juu wa Iran akiahidi kuwasaka magaidi popote walipo.
-
Raisi: Mamluki waliohusika na jinai ya kigaidi huko Kerman hawatakuwa na sehemu salama
Jan 05, 2024 08:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hakuna uungaji mkono au msaada wowote kutoka nchi yoyote utakaowaacha salama vibaraka waliohusika katika jinai ya kigaidi huko Kerman.
-
Daesh yatangaza imehusika ya shambulizi la kigaidi Kerman, Iran
Jan 05, 2024 02:37Kundi la kigaidi la Daesh limedai kuhusika na milipuko miwili iliyoua watu 84 na kujeruhi wengine wengi katika kumbukumbu ya kamanda mkuu wa kupambana na ugaidi, Luteni Jenerali Qassem Soleimani katika mji wa Kerman, kusini mashariki mwa Iran.
-
IRGC: Shambulizi la kigaidi la Kerman limefeli kuyumbisha usalama Iran
Jan 04, 2024 23:44Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu katika mji wa Kerman wa kusini mashariki mwa Iran ni jaribio lililofeli la kutaka kuvuruga na kuyumbisha usalama hapa nchini.
-
Spika: Shahidi Soleimani ni nembo ya umma wa Kiislamu
Jan 04, 2024 23:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) hakuwa tu shakhsia wa kidini na kitaifa wa Iran, lakini pia alikuwa nembo ya umma wa Kiislamu.