-
Amir-Abdollahian: Jinai za utawala wa Kizayuni zimepiga kengele ya hatari katika ukanda huu mzima
Jan 03, 2024 07:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jinai na mauaji ya kigaidi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni nje ya mipaka ya Palestina ni tishio kwa usalama na ni kengele ya hatari kwa amani ya ukanda huu mzima.
-
Iran yalaani vikali mauaji ya kigaidi ya Saleh Al Arouri yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni
Jan 03, 2024 00:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kanaani amelaani vikali hatua ya kutapatapa ya utawala wa kigaidi wa Kizayuni wa Israel ya kumuua shahidi Sheikh Saleh al-Arouri, Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ambaye pia ni kamanda mwanajihadi wa Muqawama pamoja na makamanda wawili wa Brigedi za Al-Qassam.
-
Wairani 23,000 wasio na hatia wameuawa shahidi kwa vitendo vya kigaidi
Jan 02, 2024 11:20Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekumbusha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa mhanga mkubwa zaidi wa vitendo vya magaidi na kubainisha kwamba: hadi sasa watu elfu 23 wasio na hatia wameuawa shahidi kutokana na vitendo vya kigaidi.
-
Kujiunga rasmi Iran na kundi na BRICS
Jan 02, 2024 04:36Mwakilishi wa Afrika Kusini katika Kundi la mataifa yanayoinukia kiuchumi duniani (BRICS) ameeleza kuwa Iran, Saudi Arabia, Imarati, Misri na Ethiopia zimejiunga rasmi na kundi hilo kuanzia Januari Mosi mwaka huu wa 2024.
-
Iran yaipongeza Ansarullah ya Yemen kwa kuiunga mkono Palestina
Jan 02, 2024 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameisifu na kuipongeza Harakati ya Ansarullah ya Yemen kwa kuwa na msimamo madhubuti katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Meli ya kivita ya Alborz ya Iran yaingia Bahari Nyekundu, mvutano unaendelea katika eneo hilo
Jan 01, 2024 23:20Meli ya kivita ya Alborz ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imevuka Lango-Bahari wa Bab al-Mandeb huko Yemen na kuingia Bahari Nyekundu huku wasiwasi na mvutano ukiongezeka katika eneo hilo.
-
Jenerali Salami: Kinachojiri Gaza ni mauaji ya halaiki
Jan 01, 2024 08:25Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) sanjari na kulaani jinai za kutisha za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza amesisitiza kuwa, "Kinachojiri Gaza ni mauaji ya halaiki."
-
Azma ya Tehran na Islamabad ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga mbalimbali
Jan 01, 2024 04:30Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Pakistan ameeleza kuridhishwa kwake na mwenendo unaokua wa uhusiano kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Amirabdullahian alaani kimya cha Magharibi kuhusu vita vya Gaza katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Uingereza
Jan 01, 2024 04:01Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani misimamo ya kundumakuwili inayochukuliwa na baadhi ya nchi za Magharibi kuhusu jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, utawala huo ghasibu hauwezi kuruhusiwa kuendeleza mauaji yake ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika ukanda huo unaozingirwa na hivyo kuwasha moto katika eneo zima.
-
Bwabwaja za Wazayuni dhidi ya Iran, katikati ya mgogoro
Jan 01, 2024 01:08Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amedai katika makala iliyochapishwa tarehe 28 Disemba (7 Januari) katika gazeti la Wall Street Journal kwamba utawala huo na Marekani zinapasa kuweka lengo la wazi la kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.