-
Bwabwaja za Wazayuni dhidi ya Iran, katikati ya mgogoro
Jan 01, 2024 01:08Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amedai katika makala iliyochapishwa tarehe 28 Disemba (7 Januari) katika gazeti la Wall Street Journal kwamba utawala huo na Marekani zinapasa kuweka lengo la wazi la kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Huduma kubwa ya shahidi Qassim Suleimani ilikuwa kuhuisha kambi ya muqawama
Dec 31, 2023 09:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kupanuka kwa jina, kumbukumbu na sifa za shahidi Qassim Suleimani kunatokana na ikhlasi ya shahidi huyo.
-
Al Hashd al-Shaabi: Iran ilikuwa na nafasi kubwa katika kuihami Baghdad dhidi ya ISIS
Dec 31, 2023 08:13Mkuu wa harakati ya mapambano ya Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al-Shaabi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa na nafasi muhimu katika kuihami na kuiunga mkono serikali ya Iraq katika kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Amir Abdollahian: Nchi za Magharibi zisitumie Baraza la Haki za Binadamu la UN kama fimbo
Dec 31, 2023 07:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja madai yanayohusiana na haki za binadamu yanayotolewa na baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa hayana uhalali wowote wa kisheria na kimaadili na ametaka kusitishwa mwenendo wa baadhi ya nchi za Magharibi wa kulitumika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kama fimbo na wenzo wa kutimiza matakwa yao.
-
Iran: Israel imemuua kigaidi kamanda wa SEPAH ili kujaribu kufidia mlolongo wake wa kushindwa
Dec 30, 2023 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua kigaidi mshauri mkuu wa kijeshi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) nchini Syria kutokana na kushindwa utawala huo pandikizi katika nyanja nyingi za kisiasa, kijeshi na kiusalama.
-
Raisi: Wairani wapo macho na wanawafahamu wachochezi
Dec 30, 2023 08:39Rais Ebarhim Raisi wa Iran amesema taifa la Iran linaufahamu vyema uchochezi na kuwatambua wachochezi, na ndio maana walionyesha namna wana muono wa mbali katika tukio la kihistoria la Dei 9.
-
Iran yataka E3, Marekani kuacha mashinikizo dhidi ya mpango wake wa nyuklia
Dec 30, 2023 04:22Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na Marekani lazima ziache kutoa matamshi na mashinikizo yasiyo na matunda dhidi ya Tehran na badala yake zichukue hatua zinazohitajika za kisiasa.
-
Kamanda Qaani: Uhodari wa utawala wa Kizayuni na Marekani ni kuua wanawake na watoto wasio na hatia
Dec 30, 2023 00:12Brigedia Jenerali Esmail Qaani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amehoji, ni mafanikio gani ambayo utawala wa Kizayuni na Marekani zimepata tangu zilipoanzisha vita? na akasema: uhodari wao ni kuua wanawake tu na watoto wasio na hatia.
-
Iran yawanyonga majasusi wanne wa Mossad
Dec 29, 2023 23:15Majasusi wanne waliopatikana na hatia ya kushirikiana na shirika wa kutumia silaha, kutoa vitisho na kushambulia vikosi vya usalama katika mkoa wa kaskazini magharibi wa Azarbaijan Magharibi wamenyongwa siku ya Ijumaa.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa asisiitiza kudumishwa Hamasa ya tarehe 9 Dey
Dec 29, 2023 08:54Hujjatul-Islam wal-Muslimin Mohammad Javad Haj Ali Akbari, Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesisitiza kudumishwa na kuendelezwa kumbukumbu ya Hamasa ya tarehe 9 Dey.