-
Maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (as) yafanyika; Kiongozi Muadhamu ahudhuria
Dec 17, 2023 00:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (as), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu na Kiongozi wa Waislamu baada ya Mtume (saww).
-
Bagheri Kani: Uhusiano wa Iran na Saudi Arabia uko kwenye mkondo sahihi
Dec 16, 2023 09:57Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Kisiasa amesema kuwa, uhusiano kati ya Iran na Saudi Arabia uko kwenye mkondo sahihi.
-
Droni Karrar yenye kombora Majid, mafanikio muhimu ya ulinzi wa anga wa Jeshi la Iran
Dec 16, 2023 03:23Siku chache zilizopita mamia ya ndege zisizo na rubani (droni) aina ya Karrar zilizo na makombora yanayojulikana kwa jina Majid, ziliongezwa katika Kikosi cha Ulinzi wa Anga katika maeneo yote ya mipakani ya Iran.
-
Iran kujibu vikwazo vya Marekani na Uingereza dhidi ya Jeshi la IRGC, wawakilishi wa Palestina
Dec 16, 2023 02:35Iran inasema ina haki ya kuchukua hatua ya kujibu mbinu "isiyokubalika" iliyochukuliwa na Marekani na Uingereza baada ya kutangaza vikwazo vipya vinavyolenga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na wawakilishi wa harakati za mapambano ya Kiislamu za Palestina mjini Tehran.
-
Tehran: Mauaji ya kigaidi ya polisi wa Iran huko Rask lazima yatalipiziwa kisasi
Dec 15, 2023 23:24Viongozi na maafisa mbalimbali wa Iran sambamba na kulaani shambulio la kigaidi lililosababisha mauaji ya maafisa 12 wa polisi wa Jamhuri ya Kiislamu huko Rask, kusini mashariki mwa Iran wamesema kuwa, shambulio hilo la kikatili litalipiziwa kisasi haraka sana.
-
Khatibu: Kimbunga cha al-Aqsa kimefichua nidhamu kadhaa za kisiasa duniani
Dec 15, 2023 08:35Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na muqawama wa Wapalestina wa Gaza vimefichua kuwepo nidhamu na miundo kadhaa ya kisiasa duniani, sambamba na kuonyesha kuwepo stratejia mpya ya kambi ya muqawama katika eneo.
-
Jaishu-Dhulm lakiri kuhusika na shambulio la kigaidi lililolenga kituo cha polisi cha Rask, Iran
Dec 15, 2023 04:16Genge la kigaidi la Jaishul-Dhulm limekiri kuhusika na shambulizi la kigaidi kwenye makao ya jeshi la polisi huko Rask, kusini mashariki mwa Iran.
-
Maspika wa mabunge ya Iran na Algeria wasisitiza kusitishwa jinai za Wazayuni Ukanda wa Gaza
Dec 14, 2023 23:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ametangaza utayarifu wa Bunge la Iran kufanya kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Palestina katika ngazi ya maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu kwa ajili ya kuchunguza njia za kivitendo za kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Meja Jenerali Salami: Hakuna nchi yenye ujasiri wa kuishambulia Iran
Dec 14, 2023 23:28Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Hivi sasa hakuna nchi yenye ujasiri wa kushambulia taifa na ardhi ya Iran.
-
Iran; Mwenyeji wa idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani
Dec 14, 2023 08:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Kongamano la Baraza la Wakimbizi Duniani huko Geneva Uswisi kwamba: 'Nataraji kuwa Umoja wa Mataifa na Kamisheni Kuu ya Wakimbizi Duniani zitatekeleza majukumu yao kuhusu wakimbzi na hasa kuhusu raia wa Kiafghani milioni tano wanaoishi Iran.'