-
Iran yaionya Marekani kuhusu mpango wa kuunda kikosi cha kulinda meli za Israel katika Bahari ya Sham
Dec 14, 2023 07:58Waziri wa Ulinzi wa Iran ameutaja kuwa wa kipuuzi mpango ya Marekani wa kuanzisha kikosi kazi cha wanamaji katika Bahari ya Sham kwa madhumuni ya kulinda meli zinazoelekea Israel katika eneo hilo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje: Iran ni mpokeaji wa idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani
Dec 14, 2023 03:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mpokeaji wa idadi kubwa zaidi ya watu waliopoteza makazi yao duniani.
-
Eslami: Maadui wameshindwa kuzuia ustawi wa sekta ya nyuklia ya Iran kwa vikwazo
Dec 13, 2023 23:11Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema maadui wameshindwa kuzima ustawi wa mradi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu wenye malengo ya amani kupitia vikwazo haramu.
-
Abdollahian: Unyama wa utawala wa Israel huko Gaza una utambulisho wa Kidaesh
Dec 13, 2023 01:01Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: Mienendo isiyo ya kibinadamu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia mateka wa Palestina katika ukanda wa Gaza ni mfano na ishara ya wazi ya tabia ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Tehran yalaani vikwazo vya EU dhidi ya Wizara ya Ulinzi ya Iran
Dec 12, 2023 23:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea vikwazo Wizara ya Ulinzi ya nchi hii kwa madai bandia kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeipa Russia ndege zisizo na rubani (droni) eti kwa ajili ya kutumika vitani huko Ukraine.
-
Israel iliidondoshea Gaza mabomu 22,000 ya US ndani ya wiki 6
Dec 12, 2023 23:17Ripoti mpya imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel ulidondosha zaidi ya mabomu 22,000 uliopewa na Marekani katika Ukanda wa Gaza, katika kipindi cha wiki sita za kwanza za mashambulizi ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa ukanda huo.
-
Iran yaonya kuhusu kuenea katika eneo lote vita vya Israel dhidi ya Gaza
Dec 12, 2023 03:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa mara nyingine tena ameonya kwamba, vita vya Israel vya mauaji ya halaiki dhidi ya Gaza vinaweza kuenea katika eneo lote la Asia Magharibi. Aidha amesema Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel anaweza tu kunusurika na kubakia madarakani kupitia vita vinavyoendelea na mauaji ya halaiki.
-
Qalibaf: Himaya ya Marekani kwa Israel ndiyo injini ya mauaji ya kimbari ya Gaza
Dec 12, 2023 00:07Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema himaya na uungaji mkono wa kijeshi, vyombo vya habari na wa kidiplomasia wa Marekani kwa Israel ndio chanzo kikuu cha mauaji ya kimbari ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Veto ya Marekani UN kuhusu Gaza ni kura ya kuendeleza mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel
Dec 11, 2023 10:05Iran imetangaza kuwa hatua ya Marekani ya kulipinga azimio la Umoja wa Mataifa lililotaka kusitishwa haraka mapigano huko Gaza kwa hakika ilikuwa kura ya kuendelezwa ukatili wa utawala wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
-
Kan'ani: Utawala wa Kizayuni ni hatari kwa dunia nzima na ubinadamu
Dec 11, 2023 03:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni ni utawala wa ubaguzi wa rangi na ni tishio kwa ubinadamu na dunia nzima.