-
Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi: Msingi imara wa kifikra ni hitajio la leo
Nov 15, 2023 11:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza alipokutana na waandaaji wa Kongamano la Kimataifa la Allamah Tabatabai kuwa: Msingi imara wa kifikra ni hitajio la leo.
-
Abdollahian: Hakuna uwezekano wa Israel kushinda vita vya Gaza
Nov 15, 2023 10:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mwito wa kusitishwa mara moja uvamizi na mashambulizi ya kikatili ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna nafasi na uwezo wa kupata ushindi katika vita hivyo.
-
Iran, nchi za Kiarabu zalaani Israel kwa kushambulia kwa mabomu kituo cha Qatar huko Gaza
Nov 15, 2023 00:45Kitendo cha jinai cha Israel cha kulipua makao makuu ya Kamati ya Qatar ya Kujenga upya Gaza kimelaaniwa vikali na mataifa na jumuiya nyingi za Kiarabu na Kiislamu.
-
Tume ya Haki za Binadamu ya Iran yatoa ripoti ya uhalifu wa Israel katika miaka 86 iliyopita
Nov 14, 2023 09:47Tume ya Haki za Binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechapisha ripoti kuhusu uhalifu na jinai kubwa zinazofanywa na utawala wa Kizayuni Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu katika kipindi cha miaka 86 iliyopita.
-
Khaled Qaddoumi: Joe Biden anasimamia vita vya Gaza
Nov 14, 2023 09:21Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nchini Iran amesema kuwa, Rais wa Marekani, Joe Biden ndiye anayesimamia vita na mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
"Mauaji ya halaiki ya watu wa Gaza yanakanyaga sheria za kimataifa"
Nov 13, 2023 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran sajari na kulaani mauaji ya halaiki ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza amesisitiza kuwa, jinai zinazofanywa na Wazayuni katika eneo hilo lililozingira ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
SEPAH: Jinai za Wazayuni haziwezi kuzuia ushindi wa Wapalestina; Iran imejiandaa kwa hali zote
Nov 13, 2023 23:05Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, kamwe jinai za utawala wa Kizayuni haziwezi kuzuia ushindi wa Wapalestina, na pia Marekani itambuwe kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ina nguvu kubwa na hakuna mtu anayeweza kuliteteresha taifa la Iran kwa vitisho vyake.
-
Kan'ani: Jinai ya Wazayuni ya kushambulia hospitali ni matunda ya kimya cha jamii ya kimataifa
Nov 13, 2023 10:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema huku akiwa ameshikilia picha za hospitali ya al Shifa ya Ghaza kwamba: "Baada ya walimwengu kunyamaza kimya wakati Wazayuni waliposhamblia hospitali ya Al-Ma'amadani, utawala wa Kizayuni ulizidi kupanda kiburi cha kushambulia hospitali nyinginezo za Ghaza ikiwemo ya al Shifa.
-
Kan'ani: Azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia lina nguvu na thabiti
Nov 12, 2023 10:01Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema, mapendekezo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamejumuishwa katika azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia, na ibara na maneno ya azimio hilo ni yenye nguvu na imara.
-
Iran yaunga mkono taarifa ya OIC inayolaani tishio la nyuklia la Israel
Nov 12, 2023 09:33Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameunga mkono taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inayolaani vitisho vya utawala ghasibu wa Israelkuhusu kutumia silaha za nyuklia Ukanda wa Gaza.