-
Iran: Vita vya maangamizi ya kizazi vya Israel vimeua, kujeruhi watu 40,000 Gaza
Nov 07, 2023 10:19Afisa wa ngazi ya juu wa haki za binadamu nchini Iran amesema vita na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yamepelekea watu zaidi ya 40,000 kuuawa na kujeruhi.
-
Rais wa Iran: Kuendelea kwa mauaji ya Wapalestina kutaathiri ulimwengu
Nov 07, 2023 04:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inaunga mkono juhudi za pamoja za kimataifa kwa ajili ya usitishaji vita mara moja, kuondoa mzingiro na kutoa misaada kwa watu wanaodhulumiwa wa Ghaza na kusisitiza kuwa: Mauaji ya watu wa Palestina yameyakasirisha mataifa yote huru duniani, na kuendelea kwa mauaji haya kutakuwa na matokeo mabaya hadi nje ya kanda ya Magharibi mwa Asia.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq Tehran wakati wa mgogoro wa Gaza
Nov 07, 2023 04:16Waziri Mkuu wa Iraq Mohammad Shia al-Sudani, jana asubuhi akiwa ziarani hapa mjini Tehran alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashinikizo ya kisiasa yazidishwe dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni
Nov 06, 2023 10:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza udharura wa kuongezeka mashinikizo ya kisiasa ya Ulimwengu wa Kiislamu dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kusimamisha mauaji yanayofanywa dhidi ya watu wa Gaza na kusema: Iraq, ikiwa nchi muhimu katika eneo la Magharibi mwa Asia, inaweza kuwa na nafasi maalumu katika uwanja huu na kuanzisha mstari mpya katika ulimwengu wa Waarabu na wa Kiislamu.
-
Raisi: Jinai za utawala wa Kizayuni ni vitendo vya kibaguzi dhidi ya dini za Mwenyezi Mungu
Nov 06, 2023 03:50Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kushambuliwa kwa mabomu kanisa la Gaza na kuharibiwa turathi hiyo ya kihistoria ya taifa la Palestina ni mfano wa vitendo vya ubaguzi ambavyo sio tu ni dhidi ya Waislamu wa Palestina bali pia ni dhidi ya dini nyingine za Mwenyezi Mungu vinavyotekelezwa kwa uungaji mkono wa moja kwa moja wa Marekani na nchi kadhaa za Ulaya.
-
Amir Abdollahian: Jamii ya kimataifa inapasa kuhamasishwa ili kuzuia kutokea maafa Gaza
Nov 06, 2023 03:42Hossein Amir Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza katika mawasiliano yake ya pili rasmi na Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa tangu kuanza vita huko Gaza kwamba: Jamii ya kimataifa inapasa kuhamasishwa ili kuzuia kutokea maafa na Nakba nyingine katika ardhi za Palestina.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya ulazima wa mataifa ya Kiislamu kuwaunga mkono wananchi wa Gaza
Nov 06, 2023 02:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), kwa mara nyingine tena ameshukuru na kusifu subira na muqawama wa wananchi wenye msimamo thabiti wa Gaza na kueleza masikitiko yake makubwa kwa jinai za utawala wa Kizayuni zinazofanywa kwa himaya na uungaji mkono wa moja kwa moja wa Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi.
-
Mkutano wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas
Nov 06, 2023 01:20Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na ujumbe alioandamana nao wamekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei.
-
Jenerali Ashtiani: US itakabiliwa na pigo zito iwapo vita vya Gaza havitamalizika
Nov 05, 2023 23:29Waziri wa Ulinzi wa Iran ameonya kuwa, Marekani itakabiliwa na pigo kubwa na zito iwapo itashindwa kusimamisha mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Raisi: Vita dhidi ya Hamas ni sawa na vita dhidi ya demokrasia
Nov 05, 2023 11:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria nafasi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) katika uongozi wa serikali halali katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kusisitiza kuwa, vita dhidi ya kundi hilo la muqawama ni sawa na vita dhidi ya demokrasia.