-
Iran yakosoa madola ya Magharibi kwa kupuuza jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Oct 10, 2023 03:35Waziri wa Mashaurii ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa tabia ya Wamagharibi ya kupuuza jinai za kimfumo na kimpangilio za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Iran na Sudan kufungua tena balozi zao baada ya kukamilisha mchakato wa kuhuisha uhusiano
Oct 10, 2023 03:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, karibuni hivi Iran na Sudan zitafungua tena balozi zao baada ya nchi hizo mbili kukamilisha mchakato wa kurejesha uhusiano wa kidipolmasia.
-
Kan'ani: Nchi za Magharibi zinatumia vita vya kisaikolojia dhidi ya taifa la Palestina
Oct 09, 2023 11:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa, serikali za nchi za Magharibi hususan Marekani, zinaendelea kutumia vita vya kisaikolojia na propaganda nzito dhidi ya taifa la Palestina. Nasser Kanani amebainisha haya akizungumzia oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa iliyofanywa na wanamapambano wa Hamas dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
"Operesheni ya al-Aqsa imegeuza ndoto ya kuporomoka Israel kuwa uhalisia"
Oct 09, 2023 03:50Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ndoto na jinamizi la kuangamia na kupomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel sasa imegeuka kuwa hali halisi kutokana na Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Ebrahim Raisi: Tufani ya al-Aqswa ni matokeo ya mrundikano wa dhulma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Oct 08, 2023 23:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ujumbe wake kwa taifa lenye fahari la Palestina amepongeza harakati iliyoweka historia ya mhimili wa muqawama na kusisitiza kuwa, Tufani ya Al-Aqswa ni matokeo ya mrundikano wa dhulma na uonevu unaofanywa na Wazayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Mazungumzo ya Rais wa Iran na viongozi wa Hamas na Jihadul-Islami
Oct 08, 2023 10:15Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Wananchi wa Iran washerehekea ushindi wa kihistoria wa Wapalestina + Video
Oct 07, 2023 23:56Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.
-
Dola bilioni 1.7 za Iran zilizokuwa zimezuiliwa Luxemburg zaachiwa
Oct 07, 2023 23:54Dola bilioni 1.7 katika hazina ya fedha za kigeni za Iran zilizokuwa zimezuliwa nchini Luxemburg zimeachiliwa.
-
Iran yapongeza na kutangaza uungaji mkono kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Oct 07, 2023 11:39Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwa kusema: "tunaunga mkono Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na tuna hakika kwamba kambi ya Muqawama pia inaunga mkono suala hili".
-
Safari ya Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran nchini Imarati (UAE)
Oct 07, 2023 08:32Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ambaye juzi Alhamisi aliwasili Abu Dhabi nchini Imarati kwa ziara ya siku mbili na kwa lengo la kustawisha uhusiano wa pande mbili amekutana na kufanya mazungumzo na Muhammad bin Zayid al Nahyan Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).