-
Kan'ani: Tuzo ya Amani ya Nobel inatolewa kisiasa
Oct 07, 2023 03:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa hatua ya waandaaji wa Tuzo ya Amani ya Nobel kumpa tuzo hiyo mwanamke wa Kiirani ambaye ameshitakiwa mara kadhaa kwa kufanya vitendo vya jinai hapa nchini.
-
Rais Ebrahim Raisi: Madola yanayowaunga mkono magaidi yanabeba dhima ya shambulizi la Damascus
Oct 06, 2023 23:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea Syria akisema waungaji mkono wa kigeni wa magaidi, wakiwemo wale wanaokalia kwa mabavu ardhi za nchi hiyo, ndio wanaobeba dhima ya hujuma hiyo.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Matukio ya karibuni nchini Syria ni matokeo ya mfungamano wa nguvu na ujahili
Oct 06, 2023 08:26Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuhusiana na shambulio la kigaidi lililofanywa nchini Syria kwamba, matukio ya hivi karibuni huko Syria na uharibifu huo uliosababishwa na mamluki wa Uistikbari wa dunia ni matokeo ya mfungamano wa nguvu na ujahili.
-
Qalibaf aendelea na mashauriano huko Abu Dhabi; akutana na Rais wa Imarati
Oct 06, 2023 04:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuhusu kustawisha uhusiano wa pande mbili.
-
Tehran yalaani kauli 'ya kuingilia kati' ya Uingereza kuhusu satalaiti ya Nour 3
Oct 05, 2023 04:33Iran imelaani vikali kauli ya "kiuingiliaji kati" ya serikali ya Uingereza kuhusu kurusha angani satalaiti mpya ya Nour 3 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran na Saudia zahimiza ushirikiano wa kielimu, kiteknolojia na kiutafiti baina yao
Oct 04, 2023 23:51Naibu Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran, na Mkuu wa Mji wa Elimu na Teknoljia wa Saudi Arabia wametangaza utayari wa nchi zao wa kushirikiana kielimu, kiteknolojia na kiutafiti kupitiaa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.
-
Iran: Wakaguzi wa IAEA wametimuliwa kutokana na mienendo ya uhasama
Oct 04, 2023 09:50Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) waliofukuzwa hapa nchini wanatoka katika nchi tatu za Ulaya; na kwamba walitumuliwa kutokana na mienendo yao ya kiuhasama na misimamo ya kisiasa dhidi ya Tehran.
-
Abdollahian: Kuna udharura wa fikra za pamoja ili kukabiliana na kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu
Oct 04, 2023 09:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuweko fikra za pamoja na uratibu ili kukabiliana kwa nguvu na busara na vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
Uingereza yapatwa na kiwewe kutokana na kurushwa kwa mafanikio satalaiti ya Nour 3
Oct 04, 2023 03:20Mafanikio mapya ya wanasayansi vijana wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kurusha kwa mafanikio satalaiti ya kuchukua picha ya Nour 3 kwa mara nyingine tena yameitia kiwewe na hasira serikali ya Uingereza.
-
Kitendo cha al-Ittihad mjini Isfahan; kuchanganywa mechi ya mpira wa miguu na masuala ya kisiasa
Oct 04, 2023 02:41Katika kitendo kisicho cha uanamichezo siku ya Jumatatu, timu ya mpira wa miguu ya Saudi Arabia iliamua kutoingia kwenye uwanja wa Naqshe Jahan kwa ajili ya kuchuana na timu ya Sepahan ya mjini Isfahan.