-
Jeshi la Iran lafanya 'Luteka ya Pamoja ya Droni 1402'
Oct 03, 2023 23:39Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza mazoezi makubwa ya pamoja ya kijeshi ya droni (ndege zisizo na rubani) katika eneo la kistratajia la Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.
-
Umoja wa Kiislamu maandalizi ya kuhuisha adhama ya ustaarabu wa Kiislamu
Oct 03, 2023 09:55Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umefanyika hapa mjini Tehran. Kama ilivyo ada, mkutano wa kila mwaka wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umefanyika hapa Tehran kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja sambamba na Maulidi ya Mtume (saww).
-
MAHOJIANO na mwanahabari wa Kenya aliyeshiriki Tamasha la Khorshid Iran
Oct 03, 2023 11:33Mji wa pili kwa ukubwa nchini Iran wa Mashhad hivi karibuni ulikuwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa waandishi wa habari wanawake mashuhuri wanaofanya kazi katika majukwaa mbadala ya vyombo vya habari kutoka kote ulimwenguni.
-
Kiongozi Muadhamu azitaka nchi za Kiislamu kushikamana kukabiliana na mabeberu
Oct 03, 2023 08:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baada ya madola ya kiistikbari na kibeberu kuhisi hatari kutokana na kuenea nguvu za mafundisho ya Qur'ani Tukufu, yameamua kuendesha kampeni za kukivunjia heshima Kitabu hicho Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.
-
Mkuu wa AEOI: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia
Oct 03, 2023 04:08Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia na inachofuatilia siku zote ni nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani.
-
Rais Raisi awatakia kheri na baraka viongozi na wananchi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume SAW
Oct 02, 2023 23:59Rais Ebrahim Raisi amewatumia salamu viongozi na wananchi wa nchi za Kiislamu za kuwatakia kheri na baraka kwa mnasaba wa kuadhimisha kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (SAW).
-
Amir-Abdollahian: Mauaji ya watoto wachanga ni sifa ya utawala wa Israel
Oct 02, 2023 23:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian, anasema utawala haramu wa Israel unajulikana kwa kuua watoto wa Kipalestina ambapo pia mwaka huu imeua idadi kubwa ya watu.
-
Raisi: Magharibi inakiuka haki za wanawake, inawatumia kama chombo cha mashinikizo
Oct 02, 2023 11:44Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran anasema tofauti na Iran, nchi za Magharibi zimekuwa zikikiuka haki za binadamu kwa kuwatumia wanawake kama chombo cha mashinikizo dhidi ya mataifa huru.
-
Shahriari: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha umma wa Kiislamu
Oct 02, 2023 03:12Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kurejeshwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumesaidia kuboreka umoja na matumaini katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Rais Raisi: Kuweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni kujitumbukiza shimoni
Oct 01, 2023 11:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo la kusalimu amri na kufanya mapatano kiudhalili halipo tena mezani na kwamba wale wanaoweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni nwanajitumbukiza shimoni.