-
Ubalozi wa Iran nchini Denmark: Kuvunjia heshima vitabu vitakatifu ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jul 18, 2023 04:50Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Copenhagen, Denmark, umetaja vitendo vya kuchoma moto vitabu vitakatifu vya dini tofauti kuwa ni ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran aionya Marekani isianzishe chokochoko Ghuba ya Uajemi
Jul 17, 2023 08:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameionya Marekani juu ya kuchukua hatua na kuanzisha chokochoko za aina yoyote katika Ghuba ya Uajemi.
-
Raisi: Stratijia ya Iran ni kubadilisha mipaka ya kiusalama kuwa mipaka salama na ya kiuchumi
Jul 17, 2023 01:09Stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kubadili mipaka ya kiusalama na kuwa mipaka salama na ya kiuchumi
-
Gharib Abadi: Haki itatekelezwa katika kuwashughulikia wahusika wa mauaji ya Shahidi Soleimani.
Jul 17, 2023 01:03Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu ya Iran amesisitiza kuwa uadilfu utatendeka katika kuwashughulikia wahusika wa mauaji ya Shahidi kamanda Soleimani.
-
Kan'ani: Magharibi yafumbia macho maandamano makubwa ya Israel, yatia chumvi kwingineko
Jul 16, 2023 08:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amevilaumu vyombo vya habari vya nchi za Magharibi kuhusu upotoshaji wao wakati wa kuripoti maandamano makubwa huko Israel, akisema maandamano katika ardhi hizo zinazokaliwa kwa mabavu yanakuja huku vyombo hivyo hivyo vya habari vikizidisha chumvi wakati wa kuripoti machafuko kwingineko duniani.
-
Ghalibaf: Hatuna mzaha na yeyote katika suala la kulindwa ardhi nzima ya Iran
Jul 16, 2023 04:03Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kuwa, Tehran haina mzaha na yeyote katika suala la kulindwa ardhi nzima ya Iran.
-
Iran yasambaratisha genge la magendo ya silaha kusini mashariki mwa nchi
Jul 15, 2023 23:50Kaimu Kamanda wa Walinzi wa Mpakani wa mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran ametangaza habari ya kusambaratishwa genge la magendo ya silaha mkoani humo.
-
Mtaalamu: Iran imepata ushindi wa kidiplomasia barani Afrika wakati huu wa mzozo wa madola makubwa
Jul 15, 2023 06:48Mtafiti wa masuala ya kisiasa Idris Ehmid amesema kuwa, Iran inataka kuendeleza uhusiano wake na kujenga zaidi madaraja ya ushirikiano na bara la Afrika na ushahidi wa wazi ni ziara ya Rais Ebrahim Raisi katika nchi tatu za Afrika.
-
Benki ya Dunia: Iran inaongoza duniani katika upatikanaji wa maji safi ya kunywa mijini na vijijini
Jul 15, 2023 04:18Benki ya Dunia imetangaza katika ripoti yake kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inashika nafasi ya kwanza katika upatikanaji wa maji safi ya kunywa mijini na vijijini kote ulimwenguni na miongoni mwa nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Kongamano la Imam Hussein AS lafanyika Kampala, mji mkuu wa Uganda
Jul 15, 2023 04:16Kongamano la Imam Hussein (AS) limefanyika katika eneo la Afrika Mashariki katika mji mkuu wa Uganda, Kampala.