-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Madai ya uhuru wa maoni katika mrengo wa demokrasia ya kiliberali
Jul 15, 2023 03:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei, siku ya Jumatano, katika kikao na hadhara ya wanazuoni, wanafunzi na wahubiri wa vyuo vya kidini katika kukaribia mwezi mtukufu wa Muharram, aliitaja demokrasia ya kiliberali kuwa mrengo ulio dhidi ya mfumo wa Kiislamu, unaotoa madai ya uwongo kuhusu fikra huria na demokrasia.
-
Russia yarekebisha msimamo wake kuhusu visiwa vitatu vya Iran
Jul 14, 2023 23:56Mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Mashariki ya Kati na Afrika amesisitiza misimamo thabiti ya nchi yake kuhusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba ni nchi rafiki na kwamba Moscow inaheshimu mamlaka na umoja wa ardhi yote ya Iran.
-
Mchakato wa kupeleka barani Afrika; vifaa 50 vya tiba na zaidi ya aina 10 za dawa za Iran umeanza
Jul 14, 2023 23:15Mkuu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Taasisi ya Sayansi, Teknolojia na Uchumi cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kinachohusiana na mashirika ya elimu na maarifa amesema kuwa, mchakato wa kupeleka vifaa 50 vya matibabu na zaidi ya aina 10 za dawa za Iran barani Afrika, umeanza.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Russia irekebishe haraka msimamo wake juu ya visiwa vitatu vya Iran
Jul 14, 2023 08:35Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema: Kwa kuzingatia uhusiano wa kistratejia uliopo kati ya Tehran na Moscow, wananchi wa Iran ya Kiislamu wanatarajia Russia itarekebisha haraka msimamo wake wa hivi karibuni kuhusu visiwa vitatu vya Iran.
-
Rais Raisi: Afrika ni bara la fursa ambazo hazipasi kupuuzwa
Jul 14, 2023 08:30Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesisitiza haja ya kukuza uhusiano na mataifa ya Afrika, akilielezea bara hilo kama ardhi ya fursa na kwamba uwezo wake haupasi kupuuzwa.
-
Balozi wa Iran nchini Kenya: Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kupanua ushirikiano na nchi za Afrika
Jul 14, 2023 04:32Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema kuwa utendaji wa Serikali ya Awamu ya 13 umekuwa na mafanikio katika kupanua ushirikiano na Kenya.
-
Raisi: Uporaji mali za Waafrika na kuwageuza watumwa ni matokeo ya siasa zisizojali masuala ya kiroho
Jul 14, 2023 01:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha dini mbalimbali kilichofanyika katika Msikiti wa Taifa wa Uganda kuwa: uporaji mali za Waafrika na kuwafanya watumwa ni matokeo ya siasa zisizojali masuala ya kiroho.
-
Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika
Jul 13, 2023 22:44Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.
-
Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika
Jul 13, 2023 06:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewesili Harare mji mkuu wa Zimbabwe kikiwa ni kituo chache cha tatu na cha mwisho katika safari yake hii ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.
-
Rais Raisi: Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara
Jul 13, 2023 10:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe kuwa Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara.