-
Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"
Jul 13, 2023 08:04Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"
-
Waislamu wa Uganda walivyompokea Rais wa Iran +VIDEO
Jul 13, 2023 07:50Katika safari yake nchini Uganda, kabla ya kuelekea Zimbabwe, Rais Ebrahim Raisi alipokewa na shangwe na furaha na Waislamu wa nchi hiyo.
-
Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO
Jul 13, 2023 07:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini mbalimbali nchini Uganda akiwemo Mufti Mkuu Sheikh Shaaban Ramadhan Mubaje
-
Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga
Jul 13, 2023 06:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyashambulia madola ya Maagharibi kutokana na hatua yao ya kutetea vitendo vichafu vya ushoga na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.
-
Katibu Mkuu wa mkutano wa kuiunga mkono Intifadha ya Palestina; Njia pekee ya taifa la Palestina ni kuendeleza muqawama
Jul 13, 2023 04:22Katibu Mkuu wa Mkutano wa kuiunga mkono Intifadha ya Palestina amesema kuwa njia pekee liliyonayo taifa la Palestina ni kuendeleza mapambano hadi ushindi wa mwisho.
-
Hati 4 za ushirikiano zatiwa saini mbele ya Marais wa Iran na Uganda
Jul 13, 2023 01:03Viongozi wa ngazi ya juu wa Iran na Uganda wamesaini hati nne za ushirikiano mbele ya Marais wa nchi mbili hizo.
-
Rais Raisi alakiwa rasmi na Rais Yoweri Museveni wa Uganda Ikulu ya Entebe
Jul 12, 2023 12:08Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Uganda akiendelea na ziara yake ya kieneo barani Afrika ambapo amelakiwa na kukaribishwa rasmi na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa nchi hiyo katika Ikulu ya Entebe.
-
Kiongozi Muadhamu: Kizazi cha vijana kinapaswa kuzingatiwa katika matangazo bunifu
Jul 12, 2023 08:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa kizazi cha vijana, wakiwa ndio wamiliki na viongozi wa kesho wa nchi, kinapaswa kuwa kitovu cha mazingatio ya ubunifu wa matangazo yanayotegemea mbinu na zana za kisasa.
-
Iran na Kenya zatiliana saini hati tano za ushirikiano
Jul 12, 2023 03:54Iran na Kenya zimetiliana saini hati tano za ushirikiano katika nyuga tofauti za mawasiliano, uvuvi, kilimo, afya na elimu ya ufundi, maarifa na matibabu.
-
Amir-Abdollahian: Kusitasita na kuchelewa kulaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu ni undumilakuwili
Jul 12, 2023 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, kusitasita na kuchelewa kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu ni ishara ya undumakuwili na misimamo ya nyuso mbili.