-
Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran: Tunaunga mkono haki ya matumizi ya amani ya teknolojia ya nyuklia
May 14, 2023 03:11Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesisitiza kwamba nchi yake inaunga mkono haki ya kila nchi kutumia kwa amani teknolojia ya nyuklia.
-
Balozi wa Iraq aitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
May 14, 2023 02:37Balozi wa Iraq mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kufuatia kualikwa wanachama wa makundi yanayotaka kujitenga nchini Iran katika sherehe rasmi iliyofanyika katika eneo la Kurdistan nchini Iraq na kuendelea baadhi ya harakati za makundi ya kigaidi yaliyo dhidi ya Iran katika eneo hili.
-
Ujumbe wa kuchaguliwa Iran kama mwenyekiti wa Jukwaa la Kijamii la Haki za Kibinadamu
May 13, 2023 21:54Ali Bahraini, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashirika ya kimataifa mjini Geneva amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kikao cha 19 cha Jukwaa la Kijamii la Baraza la Haki za Binadamu mwaka 2023.
-
Iran na Saudia zimo kwenye mkondo wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
May 13, 2023 06:52Waziri wa Uchumi wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia hivi sasa zimo kwenye mkondo wa kuimarisha uhusiano wao wa kiuchumi na wameshafikia hatua nzuri.
-
Jibu la Iran kwa azimio la kiadui la bunge la Uswidi
May 12, 2023 22:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa hatua ya bunge la Uswidi ya kupitisha azimio dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, imeathiriwa na makundi ya kigaidi yaliyokataliwa na taifa la Iran na kwamba ni kinyume na viwango na sheria za kimataifa.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Utawala wa Kizayuni umedhoofika zaidi
May 12, 2023 07:34Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umepoteza uwezo wake na kusema: Nguvu ya kujihami ya kambi ya muqawama inapasa kuimarishwa, na muqawama wa Palestina unapaswa kuendeleza njia hiyo kwa nguvu na fahari.
-
Kharrazi: Uhuru wa nchi na usalama wake, huletwa na nguvu za kijeshi na kiulinzi
May 11, 2023 22:10Mkuu wa Baraza la Kimkakati la Uhusiano wa Kigeni la Iran amesema kuwa, nguvu za kijeshi na kiulinzi ni katika sababu kuu za nchi kuwa salama na huru na kwamba ni kwa kutumia nguvu hizo mbili, ndipo nchi huweza kuwa na ustawi na maendeleo ya kweli.
-
Miaka mitano baada ya kujitoa Marekani katika JCPOA; “kusimama kidete kwa kiwango cha juu kabisa” mkabala wa “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa”
May 11, 2023 21:42Miaka mitano iliyopita (8 Mei 8 2018) aliyekuwa Rais wa Marekani wakati huo alitangaza rasmi kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi (JCPOA).
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Maghasibu wameshambulia maeneo 200 ya Ghaza katika siku 2
May 11, 2023 08:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa maghasibu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika muda wa siku mbili wameshambulia maeneo 200 ya Ukanda wa Ghaza na kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba: Makazi ya raia ndiyo yaliyolengwa pakubwa katika hujuma hizo za Wazayuni.
-
Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake
May 11, 2023 07:54Kikao cha kwanza cha pande nne cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Syria, Uturuki na Iran kuhusiana na Syria kilifanyika Jumatano ya jana huko Moscow mji mkuu wa Rusia.