-
Kana'ani Chafi: Kuuawa Wapalestina limekuwa jambo la kawaida la kila siku kwa Wazayuni
May 08, 2023 02:58Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matokeo ya kimya cha wanaodai kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na mauaji dhidi ya Wapalestina kumefanya kuuawa Wapalestina hao kuwa jambo la kawaida na la kila siku la Wazayuni.
-
Iran yatuma salamu za rambirambi baada ya karibu watu 400 kufa kwa mafuriko DRC
May 07, 2023 23:53Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi na mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya watu karibu 400 kufariki dunia kwa janga la mafuriko.
-
Tuhuma isiyo na msingi na jibu kali la Iran
May 07, 2023 04:11Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, ameashiria kwenye ukurasa wake binafsi katika mtandao wa Twitter, matamshi yaliyotolewa karibuni na Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani, kuwa iwapo Iran itajaribu kutengeneza bomu la nyuklia, Washington itatambua rasmi uamuzi wa Israel wa kukabiliana na hali hiyo.
-
Ebrahim Raisi: Iran daima iko pamoja na taifa na serikali ya Syria
May 06, 2023 22:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye siku za Jumatano na Alkhamisi tarehe 4 na 5 Mei alikuwa kwenye ziara ya kikazi nchini Syria ameliambia shirika la habari la nchi hiyo SANA na kanali ya televisheni ya "al Suriyyah" kwamba, Iran daima imekuwa na itaendelea kuwa pamoja na taifa na serikali ya Syria katika hali zote.
-
Jasusi na kibaraka wa CIA, MOSSAD na SÄPO anyongwa nchini Iran
May 06, 2023 03:45Hukumu ya kifo iliyotolewa na Mahakkama ya Iran dhidi ya Habib Farajollah Chaab, kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita Harakat al-Nidal, ambalo liliua makumi ya watu wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, kupitia mashambulizi kadhaa ya kigaidi nchini Iran, imetekelezwa leo asubuhi (Jumamosi).
-
Iran yasema uingiliaji wa kigeni nchini Sudan 'unatia wasiwasi sana'
May 05, 2023 22:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasema hatua ya baadhi ya nchi kuingilia masuala ya ndani ya Sudan imechangia hali ya sasa ambayo inatia wasiwasi.
-
Ayatullah Khatami: Kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Iran ya Kiislamu ni ushindi wa Mwenyezi Mungu
May 05, 2023 10:09Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran ametaja kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni ushindi au nusra kutoka kwa Mwenyezi Mungu na akaongeza kuwa: "Kumfuata Wali ul Amr wa Waislamu na Hujja za Kisharia ni mfano wa usaidizi wa Mwenyezi Mungu."
-
Rais Raisi: Safari ya Syria ni 'nukta ya mabadiliko' katika uhusiano baina ya Iran na Syria
May 05, 2023 10:09Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelezea ziara yake ya siku mbili nchini Syria kama hatua ya mabadiliko katika kukuza uhusiano wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama baina ya nchi mbili na kuongeza kuwa lengo kuu la safari hiyo lilikuwa ni kuenzi muqawama au mapambano ya serikali na taifa la Syria.
-
Raisi asisitiza udharura wa kushirikiana kwa ajili ya kutetea haki zilizoghusubiwa za Wapalestina
May 04, 2023 22:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Waislamu wanapaswa kutumia uwezo wao wote kutetea haki zilizoghusubiwa za Palestina na kukomboa Quds Tukufu.
-
Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya Iran na Syria
May 04, 2023 06:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria kwa mwaliko rasmi wa rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad.