-
Iran yaiambia US kuhusiana na ziara ya Rais Raisi nchini Syria: 'Kasirikeni na kufeni kwa hasira'
May 04, 2023 04:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuvunjwa pembe za Marekani huko Syria na katika eneo ndio sababu ya kukasirishwa Ikulu ya White House na ziara ya Rais Ebrahim Raisi mjini Damascus, Syria.
-
Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama
May 04, 2023 03:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimama imara mataifa ya Palestina na Syria kumebadilisha hali ya mambo kwa manufaa ya kambi ya muqawama na leo hii utawala wa Kizayuni wa Israel ni dhaifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
-
Vyombo vya habari vya Israel: Safari ya Rais wa Iran Syria ni pigo kwa Israel
May 03, 2023 22:45Safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria imeendelea kuakishiwa duniani kote huku wachambuzi katika utawala wa Kizayuni wa Israel wakisema kuwa ziara hiyo ya kimkakati ni "mafanikio" kwa mhimili wa muqawama na ni pigo kwa utawala wa Tel Aviv.
-
Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo
May 03, 2023 08:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.
-
Raisi: Wazayuni hawawezi kujidhaminia usalama wao
May 03, 2023 03:52Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Iran amesema: Hali ya mambo hivi sasa imebadilika na kwamba utawala wa Kizayuni hauwezi kujidhaminia usalama ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Amir Abdollahian: Ziara ya Rais Raisi Syria ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia ya serikali katika ushirikiano wa kikanda
May 03, 2023 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria mbali na umuhimu wake wa kisiasa, kiusalama na kiuchumi ni dhihirisho la ushindi wa irada ya kisiasa ya muqawama na kufanikiwa diplomasia ya serikali katika kukamilisha mchakato wa utangamano wa kikanda.
-
Iran inaweza kuvuka machaguo magumu ya ustawi kupitia mchango athirifu wa elimu na malezi
May 02, 2023 07:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na idadi kubwa ya walimu na akasema: Ni jambo lisilowezekana kuvuka njia ngumu za maendeleo ya pande zote ya nchi bila ya msaada na mchango wa sekta ya elimu na malezi.
-
Tangazo la onyo kwa manowari ya Marekani; mfano wa kuweka historia Wairan
May 02, 2023 07:38Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Iran ameashiria onyo la Jamhuri ya Kiislamu kwa manowari ya Marekani na kueleza kuwa, Wairani siku zote wameweka historia.
-
Shamkhani asisitiza kuanzishwa utaratibu wa matumizi ya Riyali na Rupia
May 01, 2023 22:03Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametilia mkazo kuanzishwa utaratibu wa kutumia sarafu ya Riyali na Rupia katika mabadilishano ya kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na India.
-
Kana'ani: Ghuba ya Uajemi ni sehemu ya utambulisho wa kihistoria na kiutamaduni wa pamoja wa Asia Magharibi
May 01, 2023 08:38Msemajii wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ghuba ya Uajemi ni sehemu ya utambulisho wa kihistoria na kiutamaduni wa pamoja katika eneo la Asia Magharibi.