-
Kufika Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwenye mpaka wa Palestina kumewatia kiwewe Wazayuni
Apr 30, 2023 22:45Viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wametiwa wasiwasi na hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian ya kufika kwenye mipaka ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi
Apr 30, 2023 22:18Jana, tarehe 10 Ordibehest, 1402 Hijria Shamsia, ilikuwa siku ya kumbukumbu ya kufukuzwa wakoloni wa Kireno katika maji ya Kusini mwa Iran hapo mwaka 1622, na inatambuliwa nchini Iran kuwa Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi.
-
Wairani wanaadhimisha Siku ya Ghuba ya Uajemi, wasisitiza majina bandia hayatabadilisha ukweli
Apr 30, 2023 10:32Wananchi wa Iran leo wameadhimisha Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi, ambayo ni nembo ya misimamo isiyoyumba ya kukabiliana na njama za baadhi ya nchi za kikanda za kutaka kubadilisha jina la eneo hilo la kistratijia la maji.
-
Iran: Mitazamo ya umma ya Wamarekani inabadilika kuhusu ubaguzi wa rangi Israel
Apr 30, 2023 10:19Iran imeangazia "mabadiliko yanayoonekana" katika maoni ya umma wa Marekani kuhusu hali ya ubaguzi wa rangi au mfumo wa apathaidi katika utawala haram Israel, ikitoa mfano wa uchunguzi wa maoni uliofanyika hivi karibuni Marekani amba unaonyesha namna utawala huo ghasibu uliovypoteza uungaji mkono Marekani.
-
Safari ya Rais wa Iraq mjini Tehran; msisitizo wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili
Apr 30, 2023 08:11Katika safari yake ya siku moja hapa mjini Tehran Rais wa Iraq ameongoza ujumbe wa nchi yake wakiwemo mawaziri wa kigeni, umeme, biashara na waziri wa vyanzo vya maji.
-
Televisheni ya CNN ya Marekani yakiri uwezo mkubwa wa droni za Iran
Apr 30, 2023 03:17Kanali ya televisheni ya CNN ya Marekani imelazimika kukiri uwezo mkubwa wa mfumo wa droni na ndege zisizo na rubani za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Kustawishwa ushirikiano wa pande mbili ni kwa manufaa ya Iran na Iraq
Apr 29, 2023 22:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maendeleo, ufanisi, uhuru na ustawi wa Iraq ni muhimu sana kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili na kutekelezwa makubaliano yaliyofikiwa, ni kwa manufaa ya nchi zote hizi mbili.
-
Kamanda Tangsiri: Usalama endelevu wa Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran
Apr 29, 2023 22:39Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameeleza kuwa: Usalama endelevu wa eneo la Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran na kwamba hakuna nchi itakayoruhusiwa kudhuru usalama na maliasili za eneo hilo.
-
Rais Raisi: Azma ya viongozi wa Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili
Apr 29, 2023 08:40Rais Ebrahim Raisi amesema: azma ya viongozi wa nchi mbili za Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Jamii ya wafanyakazi wa viwandani haijakubali kutumiwa vibaya na adui
Apr 29, 2023 07:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, jamii ya wafanyakazi wa viwandani haijakubali kutumiwa vibaya na adui na wanaolitakia mabaya taifa la Iran.