-
Mshauri mkuu wa Rais wa Senegal anawasili Tehran leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake
Feb 21, 2023 23:43Kaimu wa Mkuu wa Klabu ya Biashara ya Iran na Afrika amesema kuwa, ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa muungano wa wafanyabiashara wa nchi hiyo unawasili mjini Tehran leo kwa ajili ya kuimaimarisha ushirikiano wa kiuchumi wa pande mbili.
-
Meli iliyobeba shehena ya silaha zilizotengenezwa Marekani yakamatwa katika Ghuba ya Uajemi
Feb 21, 2023 08:48Kamanda wa walinzi wa mpakani wa jeshi la polisi la Iran ametangaza kuwa meli moja iliyobeba silaha za Marekani imekamatwa katika Ghuba ya Uajemi.
-
Iran inajiandaa kujibu mapigo ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya
Feb 21, 2023 00:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ndani ya siku chache zijazo itatoa jibu la vikwazo vya hivi karibuni vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 32 na taasisi mbili za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran atoa pole ya kifo cha balozi mkongwe wa Palestina
Feb 20, 2023 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mkono wa pole kufuatia kifo cha balozi wa miaka mingi na mkongwe wa Palestina, hapa nchini Iran. Balozi Salah al Zawawi alifariki dunia jana Jumatatu akiwa na umri wa miaka 85 katika hospitali moja ya hapa mjini Tehran.
-
Iran: Mkutano wa usalama wa Munich umepoteza hadhi yake
Feb 20, 2023 08:25Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikai mkutano wa usalama wa Munich na kubainisha kwamba, hatua zilizochukuliwa na waandaaji wa mkutano huo zimetoa pigo kubwa kwa itibari na hadhi ya mkutano huo wa usalama.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mienendo ya Umoja wa Ulaya ni mwendelezo wa sera iliyofeli ya Trump
Feb 20, 2023 04:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, mienendo ya Umoja wa Ulaya katika miezi ya hivi karibuni ni mwendelezo wa sera zisizo na tija na zilizofeli za rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump.
-
Iran yajibu madai ya rais wa Jamhuri ya Azerbaijan: Jiepushe na uchochezi wa kisiasa
Feb 19, 2023 22:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Rais wa Azerbaijan na kusisitiza kwa kusema: "ni bora kujiepusha na ufanyaji papara katika kuhukumu mambo, uchochezi wa kisiasa na kulifanyia jambo propaganda".
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kuendelezwa uungaji mkono wa Iran kwa Palestina
Feb 19, 2023 08:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema sababu kuu ya kuzidishwa kampemi ya chuki dhidi ya Iran (Iranophobia) ni uungaji mkono wa wazi na wa bila vizuizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Palestina.
-
Kan'ani: Kimya cha Magharibi mbele ya jinai za Wazayuni kinatia kichefuchefu
Feb 19, 2023 08:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani jinai za utawala wa Kizayuni katika viunga vya mji mkuu wa Syria, Damascus na kusema kuwa, kimya cha nchi za Magharibi kwa jinai na uvunjaji huo wa wazi wa haki ya kujitawala nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa, ni aibu na kinatia kichefuchefu.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi ya Daesh huko Homs, Syria
Feb 19, 2023 03:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali jinai ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika viunga vya mji wa Homs nchini Syria na kusema: "Utawala wa Marekani unafuatilia sera za undumakuwili katika masuala ya kimataifa ikiwa ni pamoja na mapambano dhidi ya ugaidi."