-
Rais Raisi: China inakaribisha juhudi za Iran za kujiunga na BRICS
Feb 16, 2023 08:03Rais Ebrahim Raisi amesema China imekaribisha juhudi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwa mwanachama wa jumuiya ya BRICS, inayojumuisha nchi tano zinazoongoza kwa uchumi unaoinukia duniani.
-
Umoja wa Mataifa: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni kinyume cha sheria
Feb 16, 2023 04:24Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa, vikwazo vya Washington dhidi ya taifa la Iran na hatua zake dhidi ya nchi nyingine ni kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili
Feb 15, 2023 22:56Jumanne ya juzi tarehe 14 Februari, Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Beijing na Rais Xin Jinping wa China.
-
Nassir Kan'ani: Kuunga mkono magaidi na watenda jinai ni sehemu ya sera za kigeni za Marekani
Feb 15, 2023 22:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuunga mkono magaidi na watenda jinai ni sehemu isiyotenganishika na sera za kigeni za serikali ya Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Ujumbe wa Taifa siku ya Bahman 22 ulikuwa ni istikama na kuunga mkono Mapinduzi kikamilifu
Feb 15, 2023 09:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na maelefu ya watu kutoka mji wa Tabriz na kusisitiza kuwa: "Ujumbe wa taifa katika matembezi ya Bahman 22 (11 Februari) ulikuwa ni istikama na kuunga mkono Mapinduzi kikamilifu"
-
Rais Raisi: Utawala Mpya wa Dunia unaibuka huku Asia ikiwa kitovu
Feb 15, 2023 09:13Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mfumo Mpya wa Utawala wa Dunia unaibuka huku bara la Asia likiwa kitovu chake na kwamba utachukua nafasi ya ule wa awali.
-
Wananchi wa Uturuki waliokumbwa na mitetemeko walishukuru Jeshi la Iran kwa msaada wa tiba
Feb 15, 2023 09:00Wananchi wa eneo lililokumbwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi la Adıyaman nchini Uturuki wamelishukuru Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu kwa kujenga hospitali ya muda inayowahudumia waathirika katika eneo hilo.
-
Mshtakiwa kupanda kiriri cha mshtaki; kujitokeza mtesaji mkuu wa SAVAK kwenye mkusanyiko wa Los Angeles wa wapinga Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 15, 2023 04:47Parviz Sabeti, aliyekuwa mkuu wa usalama wa ndani wa utawala kandamizi wa Ufalme wa Pahlavi na mtesaji mkuu wa Shirika la Intelijensia na Usalama la utawala huo lililokuwa maarufu kama SAVAK, baada ya miaka na miaka ya kuishi mafichoni na mbali na vyombo vya habari, tarehe 11 Februari alijitokeza hadharani akiwa pamoja na familia yake na kushiriki kwenye mjumuiko wa wapinga Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran uliofanyika mjini Los Angeles, Marekani.
-
Shahriari: Wamagharibi wanafanya njama za kuwazozanisha Waislamu, umoja ndiyo ngao yetu
Feb 15, 2023 04:14Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, ushirikiano baina ya madhehebu ya Kiislamu ndio msingi wa kupatikana umoja na mshikamano katika umma wa Kiislamu.
-
Wizara ya Intelijinsia ya Iran yazuia hujuma zaidi za kigaidi baada ya shambulizi katika Haram ya Shah Cheragh
Feb 14, 2023 23:28Mmoja wa Wakurugenzi wa Idara ya Kupambana na Ugaidi katika Wizara ya Intelijinsia ya Iran ameeleza kuwa baada ya tukio la kigaidi katika Haram ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika mji wa Shiraz, Ahmad bin Musa maarufu kwa jina la Shah Cheragh, wanachama24 wa mtandao huo ambao ulikuwa ukisaidia kutekelezwa hujuma hiyo walitambuliwa na kutiwa nguvuni mara moja. Kukamatwa kwa watu hao kulizuia oparesheni za kigaidi zisizopungua 9.