-
Uhusiano wa kiuchumi wa Iran na China katika mkondo mpya
Feb 14, 2023 09:21Sambamba na safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini China, kumefanyika kikao cha pamoja cha wafanyabiashara wa wa pande mbili katika jiji la Beijing.
-
Hati 20 za ushirikiano zasainiwa na maafisa wa Iran na China katika safari ya Rais Raisi mjini Beijing
Feb 14, 2023 09:17Hati 20 za ushirikiano zimetiwa saini kati ya maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na China katika hafla iliyohudhuriwa na marais wa nchi hizo mbili.
-
IRGC: Hakuna dola linaloweza kuchukua hatua dhidi ya Iran
Feb 14, 2023 04:36Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameashiria uwezo mkubwa wa kujihami wa Iran na kusisitiza kuwa, hakuna dola katika madola yenye nguvu duniani linaloweza kuchukua hatua za kichokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais wa Iran awasili Beijing, kusaini hati 20 za makubaliano na China
Feb 13, 2023 23:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Beijing, mji mkuu wa China kwa ziara rasmi ya kikazi, kufuatia mwaliko wa Rais Xi Jinping wa nchi hiyo.
-
Radiamali ya Iran kwa kuungwa mkono kundi la kigaidi la MKO katika Kongresi ya Marekani
Feb 13, 2023 09:44Hussein Amir-Abdollahia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran Jumamosi ya juzi tarehe 11 Februari alitoa radiamali kuhusiana na azimio la Kongresi ya Marekani linaloliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO).
-
Kan'ani: Utawala haramu wa Israel hauna ubavu wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Iran
Feb 13, 2023 09:18Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala haramu wa Israel hauna uwezo wala ubavu wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Iran.
-
Sultan wa Oman ahimiza ushirikiano zaidi, biashara baina ya Iran na Oman yaongezeka mno
Feb 13, 2023 04:01Sultan Haitham bin Tariq al Said wa Oman amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuhimiza ushirikiano zaidi baina ya Tehran na Muscat.
-
Iran yavunja rekodi ya uzalishaji wa feleji duniani
Feb 12, 2023 23:29Naibu wa Meneja Uzalishaji wa Shirika la Feleji la Mobarakeh la Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inashikilia rekodi ya uzalishaji wa feleji duniani kutokana na hisa ya asilimia 34 ya shirika hilo.
-
Juhudi tasa za miongo minne za Marekani za kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 12, 2023 08:39Mamilioni ya Wairani jana Jumamosi walishiriki katika maandamano ya maadhimisho ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) na kuadhimisha kwa hamasa kubwa miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Al-Nakhalah ampongeza Kiongozi wa Mapinduzi kwa mnasaba wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran
Feb 12, 2023 08:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Iislami ya Palestina, Ziyad al-Nakhalah amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapiinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei akimpongeza kwa mnasaba wa kutimia miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.