-
Rais Ebrahim Raisi: Taifa la Iran muda wote limekuwa likiwakatisha tamaa maadui
Feb 03, 2023 00:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujitokeza vilivyo na kwa wingi wananchi katika nyuga tofauti kumekuwa muda wote kukiwavunja moyo na kuwakatisha maadui wa Iran ya Kiislamu.
-
Iran yakosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu
Feb 02, 2023 08:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu kwa kuchapisha picha za mashahidi wa Kipalestina waliouawa na jeshi la Israel katika mwezi uliopita.
-
Majibu makali ya Tehran kuhusu msimamo ulio dhidi ya Tehran wa Blinken
Feb 01, 2023 22:42Nasser Kan'ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, siku ya Jumatatu alijibu upayukaji mpya wa baadhi ya viongozi wa Marekani na kusema kuwa, serikali ya Washington inaelewa vilvyo kwamba Iran haiwezi kufumbia macho uchokozi wa aina yoyote ile wa ardhi yake na lazima itatoa majibu makali kwa yeyote anayelichokoza taifa hili la Kiislamu.
-
Kan'ani: Hatima ya utawala bandia wa Israel ni kusambaratika
Feb 01, 2023 22:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria matukio ya hivi karibuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kusisitiza kuwa, kusambaratika kuko katika dhati na asili ya utawala bandia wa Israel.
-
Raisi: Adui amekasirishwa na hatua za Iran za kusambaratisha vikwazo
Feb 01, 2023 08:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja machafuko na vikwazo vya nchi za Magharibi kuwa ni pande mbili za sarafu moja na kueleza kuwa, adui amekasirishwa na hatua zinazochukuliwa na serikali na wananchi wa Iran kwa ajili ya kusambaratisha vikwazo hivyo.
-
Wananchi wa Iran waanza kusherehekea Alfajiri Kumi
Feb 01, 2023 04:07Wananchi wa Iran wameanza sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran ambayo yaliupindua utawala wa kitaghuti wa Kipahlavi uliokuwa unaungwa mkono kila upande na Marekani.
-
Abdollahian: Iran inasaidia kupatikana amani na uthabiti barani Afrika
Feb 01, 2023 04:06Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran ipo mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi na inasadia kupatikana amani na uthabiti barani Afrika.
-
Iran yalaani Marekani na Israel, yasema wahalifu sasa wanajidhihirisha kuwa wabeba bendera ya usalama duniani
Feb 01, 2023 01:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani tuhuma za hivi punde zilizotolewa na Marekani na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran, na kusema ni kinaya kwamba wahalifu na maharamia sasa wanadai kuwa vinara wa usalama wa dunia.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu azuru haram ya Imam Khomeini (MA) na maziara ya Mashahidi
Jan 31, 2023 08:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezuru haram toharifu ya Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kumuenzi na kumsomea Faatiha kiongozi huyo mwenye adhama kubwa wa taifa la Iran.
-
Rais Raisi: Licha ya fitna na njama zote, Mapinduzi ya Kiislamu yamezidi kudhihirika duniani
Jan 31, 2023 08:19Rais Ebrahim Raisi amesema: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran chini ya uongozi wa Imam Khomeini (MA) yamedumu licha ya fitna na njama zote za adui na yamezidi kudhihirika duniani.