-
Iran: Marekani inakiuka haki za watu wenye asili ya Afrika
Jan 18, 2023 07:42Iran imesema mauaji ya hivi karibuni ya polisi wa Marekani dhidi ya mwalimu mwenye asili ya Afrika ambaye hakuwa na silaha yanadhihirisha hali mbaya ya haki za binadamu ambayo watu wasio wazungu wanakabiliwa nayo kote Marekani.
-
Ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na Russia unaenda sambamba na makubaliano ya kimkakati
Jan 17, 2023 10:00Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran amesema Tehran na Moscow zinaimarisha ushirikiano wao wa kiuchumi kwa mujibu wa makubaliano ya kimkakati kupitia juhudi za mara kwa mara na azma thabiti.
-
Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Uturuki upo katika mkondo sahihi
Jan 17, 2023 09:45Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki upo katika mkondo sahihi.
-
Kupotosha jina la Ghuba ya Uajemi; kosa kubwa la Waziri Mkuu wa Iraq
Jan 17, 2023 07:16Kung'ang'ania Mohammed Shia' Al Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq kutumia jina bandia la Ghuba ya Kiarabu balada ya jina halisi la Ghuba ya Uajemi, kumezusha swali hili kwamba, lengo la mwanasiasa huyo la kufanya upotoshaji huu wa kihistoria ni nini hasa?
-
Iran yaongeza mauzo ya mafuta na gesi licha ya vikwazo
Jan 16, 2023 23:36Shirika la Taifa la Mafuta la Iran (NIOC) limesema kwa wastani katika robo ya kwanza ya mwaka wa Kiirani unaomalizika Machi 20, Iran imekuwa ikiuza bidhaa za mafuta ghafi ya petroli na gesi zenye thamani ya dola milioni 154 kwa siku.
-
Uingereza imekasirishwa na kushindwa kijasusi nchini Iran
Jan 16, 2023 23:27Ebrahim Azizi, naibu mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Kitaifa na Sera ya Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Uingereza kimsingi haisikitishwi na kunyongwa kwa Alireza Akbari kwani daima hutoa kafara kufikia malengo yake ya kijasusi na kwamba kilichoikasirisha Uingereza ni kushindwa katika njama zake za kijasusi,"
-
Iran na Zimbabwe zaazimia kupanua ushirikiano wa kimichezo
Jan 16, 2023 09:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimeazimia kupanua zaidi ushirikiano wao katikka nyanja mbalimbalii ukiwemo uga wa michezo.
-
National Interest: Sekta ya ndege zisizo na rubani nchini Iran imestawi licha ya vikwazo
Jan 16, 2023 03:36Jarida moja la nchini Marekani limekiri waziwazi katika ripoti yake ya jana Jumapili kwamba, Sekta ya ndege zisizo na rubani na sekta ya anga za mbali ya Iran imestawi na kuimarika licha ya vikwazo ilivyowekewa nchi hiyo.
-
Makamu wa Rais: Katiba ya Iran ni mtetezi na mlinzi wa haki za wanawake
Jan 15, 2023 08:58Makamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya sheria amesema, Katiba ya Iran ni mtetezi na mlinzi wa haki za wanawake.
-
Radiamali hasi ya Madola ya Magharibi ya kunyongwa jasusi wa Uingereza nchini Iran
Jan 15, 2023 08:13Kunyongwa Ali Reza Akbari, jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6 kumekabiliwa na matamshi ya pupa na radiamali tofauti na hasi za madola ya Magharibi. Radiamali hizo zinaonyesha kupata pigo kubwa mipango ya kijasusi ya Magharibi dhidi ya Iran.