-
Kusajiliwa mauaji ya Kamanda Soleimani katika majukwaa ya kimataifa
Jan 02, 2023 08:21Abbas Ali Kadkhodaei, mkuu wa kamati maalumu ya ufuatiliaji wa kisheria na kimataifa wa mauaji na kuuawa shahidi Kamanda Haj Qassem Soleimani amesema: Mauaji ya Shahidi Soleimani na wenzake yamesajiliwa katika duru za kimataifa kama uhalifu wa kimataifa wa Marekani.
-
Baraza la Maulamaa la Nigeria: Mauaji ya Jenerali Soleimani ni jinai
Jan 02, 2023 07:59Baraza la Maulamaa wa Kiislamu Nigeria, limelaani vikali mauaji ya kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Luteni Jenerali Qassem Solaimani na kusema mauaji hayo yaliyotekelezwa na Marekani ni jinai.
-
Iran: Kufikishwa kizimbani Trump kutokana na jinai ya kumuua Jenerali Soleimani ni huduma kwa ubinadamu
Jan 02, 2023 07:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kan’ani amesema kumkamata rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kwa mauaji ya kamanda wa Iran wa mapambano dhidi ya ugaidi Jenerali Qassem Soleimani itakuwa ni "huduma kwa ubinadamu."
-
Eje'i :Shahidi Soleimani aliibua umoja wa Shia na Sunni katika nchi nyingi
Jan 02, 2023 07:22Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha hatua alizochukua Shahidi Jenerali Hajj Qassem Soleimani katika medani za muqawama au mapambano dhidi ya maadui na kusema kwamba alijenga umoja kati ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni katika nchi nyingi.
-
Raia wa nchi nne walihusika katika mauaji ya Kamanda Qassem Soleimani
Jan 02, 2023 04:11Mkuu wa kamati maalumu ya ufuatiliaji wa kisheria na wa kimataifa wa faili la mauaji ya Kamanda Qassem Soleimani katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, raia wa nchi nne walihusika katika mauaji ya kamanda huyo.
-
Meja Jenerali Baqheri: Mpango wa kulipiza kisasi kwa walioamuru kuuawa Kamanda Soleimani katu hautafutwa
Jan 02, 2023 00:53Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqheri amesisitiza katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani ya kwamba, kulipiza kisasi dhidi ya waliotoa amri, waliosimamia na waliotekeleza mauaji ya kamanda huyo Shahidi, kamwe hakutaondolewa katika ajenda ya vijana wa ulimwengu wa Kiislamu na wanaompenda ulimwenguni.
-
Nusu ya watu bilioni moja wa nchi za eneo ni wateja wa mazao ya kilimo ya Iran
Jan 01, 2023 08:54Mkuu wa Kamisheni ya Kilimo, Maji, Maliasili na Mazingira katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa zaidi ya watu milioni 500 katika nchi za kanda hii na jirani zake wanataka kunufaika na bidhaa za kilimo za Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Kazi kubwa ya shahidi Soleimani ilikuwa ni kuimarisha kambi ya muqawama
Jan 01, 2023 08:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, miongoni mwa kazi kubwa zilizofanywa na Luteni Jenerali shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, ni kuhuisha na kutia nguvu kambi ya muqawama.
-
Jebeli: Vikwazo dhidi ya IRIB ni mfano wa wazi wa udikteta dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 01, 2023 07:19Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB amesema kuwa vikwazo lilivyowekewa shirika hilo ni mfano wa wazi wa udikteta dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Zulfiqar; Dhihiriso la Nguvu za Kujihami za Iran + VIDEO
Jan 01, 2023 06:46Kwa mujibu wa desturi ya kila mwaka ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mazoezi ya pamoja ya Zulfiqar yamefanyika kusini mashariki na katika pwani ya Makran.