-
Jebeli: Vikwazo dhidi ya IRIB ni mfano wa wazi wa udikteta dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 01, 2023 07:19Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB amesema kuwa vikwazo lilivyowekewa shirika hilo ni mfano wa wazi wa udikteta dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Zulfiqar; Dhihiriso la Nguvu za Kujihami za Iran + VIDEO
Jan 01, 2023 06:46Kwa mujibu wa desturi ya kila mwaka ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mazoezi ya pamoja ya Zulfiqar yamefanyika kusini mashariki na katika pwani ya Makran.
-
Kamanda wa Iran: Jibu kali linawasubiri wavamizi wa taifa hili
Jan 01, 2023 04:12Naibu Mratibu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, chockochoko zozote za maadui zinazolenga kuhujumu uhuru na mamlaka ya kujitawala nchi hii zitakabiliwa kwa jibu kali la kijeshi.
-
Abdollahian: Iran inapinga uwepo wa madola ajinabi katika eneo
Dec 31, 2022 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inapinga vikali uwepo wa madola ajinabi katika eneo hili la kistratejia la Asia Magharibi.
-
Kan'ani: Sifa za shakhsia ya Shahidi Soleimani zingali zinaiongezea nguvu kambi ya Muqawama
Dec 31, 2022 09:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuhusiana na sifa za shakhsia ya Shahidi Suleimani ya kwamba, sifa za shakhsia ya Shahidi Suleimani zingali zinaiongezea nguvu kambi ya Muqawama.
-
Mkutano wa kubainisha harakati za Luteni Jenerali Qassem Soleimani waanza mjini Tehran
Dec 31, 2022 04:03Mkutano wa kwanza wa mlolongo wa vikao vya kielimu na kiutafiti wenye shabaha ya kubainisha harakati za Luteni Jenerali Qassem Soleimani chini ya anuani ya "Meza ya Duara ya Kitaalamu ya Vita Dhidi ya Ugaidi na Misimamo ya Kufurutu Ada Asia Magharibi" umeanza leo hapa mjini Tehran.
-
Jebeli: Kuyatangaza mafanikio yenye thamani kubwa ya Iran ni jukumu la chombo kikuu cha habari cha taifa
Dec 30, 2022 22:43Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB amesema, ushujaa wa mashahidi, mambo ya kujivunia, mafanikio ya wanasayansi na wasomi wenye vipawa na mila za kale ni matunda muhimu na yenye thamani kubwa ya Iran ya Kiislamu.
-
Sheikh Kazem Siddiqi: Hamasa ya tarehe 9 Dey ilirejesha utulivu kwa taifa la Iran
Dec 30, 2022 09:28Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameitaja tarehe 9 Dei (30 Disemba) kuwa, muhuishaji wa dini kwa baraka za mahudhurio ya wananchi ambao walisambaratisha njama za maadui na kulirejeshea taifa hili utulivu uliokuwa umetoweka.
-
Kan'ani: Palestina itabakia milele; kuangamia ni katika dhati na utambulisho wa Israel
Dec 30, 2022 09:03Msemaji wa Wizara vya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kwa madai yasiyo ya msingi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kueleza kuwa, hatua hiyo inafuatilia kujijengea utambulisho wake.
-
Hamasa ya 9 Dey; Siku ya Ung'amuzi na Kufungamana Taifa na Uongozi
Dec 30, 2022 04:24Leo tarehe 30 Disemba ni siku ya kukumbuka ushiriki unaoshabihiana na ule wa Siku ya Ashura wa wananchi wa Iran wenye kuibua hamasa na watiifu kwa uongozi wa Faqihi Mtawala. Hamasa hiyo ilijiri Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, ambapo kulijiri tukio jingine katika historia iliyojaa fahari ya wananchi wa Iran ya Kiislamu.