-
Mkuu wa taasisi ya utafiti wa nyuklia: Maajinabi hawawezi kusimamisha sekta ya nyuklia ya Iran
Dec 14, 2022 23:42Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia amesema: Maajinabi hawawezi kusimamisha sekta ya nyuklia ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Waliomuua mwanachuoni wa Kisunni wanataka kuwagawanya Wairani
Dec 14, 2022 08:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani kitendo cha kutekwa nyara na kuuawa mwanachuoni wa Kisunni huko kusini mashariki mwa Iran na kusisitiza kuwa, watenda jinai waliotekeleza uhaini huo wanatumikia maslahi ya pande zinazopinga ustawi na umoja wa wananchi wa Iran.
-
Raisi: Adui ameibua ghasia ili kukwamisha ustawi wa uchumi wa Iran
Dec 14, 2022 07:49Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema maadui wanafanya juu chini ili kuwashughulisha na fujo na ghasia wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, wakiwa na lengo la kukwamisha ustawi wa uchumi wa taifa hili.
-
Tathmini juu ya kikao cha Tehran cha "Mashirikiano Kamili ya Kimkakati kati ya Iran na China"
Dec 14, 2022 07:22Kikao cha mpango wa "Mashirikiano Kamili ya Kimkakati baina ya Iran na China" kilianza jana Jumanne hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Naibu Waziri Mkuu wa China.
-
Kanani Chafi: Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinabeba dhima ya jinai za Israel
Dec 14, 2022 04:23Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kumuua binti mdogo wa Kipalestina na kusema kuwa, tawala za Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinabeba dhima ya mauaji yanayofanywa na Israel kutokanan na himaya na uungaji mkono wao kkwa utawakla huo ghasibu.
-
China: Tunaheshimu mamlaka ya kitaifa na umoja wa ardhi yote ya Iran
Dec 13, 2022 23:02Naibu Waziri Mkuu wa China amesisitiza kuwa nia na irada ya Beijing ya kustawisha uhusiano mpana wa kistratejia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitabadilika na akabainisha kwamba nchi yake inaunga mkono mamlaka ya kitaifa, umoja wa ardhi yote na heshima ya kitaifa ya Iran pamoja na msimamo wake wa kupambana na uingiliaji wa kigeni. Hu Chunhua ameyasema hayo katika mkutano na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mohammad Mokhber.
-
Rais Raisi: Misimamo ya rais wa China wakati wa safari yake katika eneo imeisikitisha Iran
Dec 13, 2022 09:41Rais Ebrahim Raisi amesema, baadhi ya misimamo iliyotangazwa katika safari ya karibuni ya rais wa China katika eneo imelisikitisha taifa na serikali ya Iran.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ukraine haijawasilisha ushahidi kuhusu kutumwa Russia droni za Iran
Dec 13, 2022 07:11Waziri wa Ulinzi wa Iran ametoa maeleo kuhusu kikao cha wataalamu wa Iran na Ukraine na kueleza kuwa, upande wa Ukraine haujawailisha ushahidi wowote wenye mashiko unaothibtisha madai kwamba Russia imetumia droni kutoka Iran.
-
Shughuli ya kuwakumbuka mashahidi wa Zaria, Nigeria, yafanyika katika Haram ya Imam Ridha (as)
Dec 13, 2022 06:33Shughuli ya kuwakumbuka mashahidi waliouawa na jeshi la Nigeria miaka saba iliyopita katika mji wa Zaria imefanyika katika Haram ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika mji mtakatifu wa Mah'had ulioko kaskazini mwa Iran.
-
Iran yawekea vikwazo Umoja wa Ulaya, Uingereza kwa kuchochea ghasia
Dec 13, 2022 01:17Iran imewawekea vikwazo makumi ya maafisa na mashirika ya Umoja wa Ulaya (EU) na Uingereza kutokana na uungaji mkono wao na kuchochea ghasia mbaya za hivi karibuni nchini. Waliowekewa vikwazo wamekuwa wakitoa matamshi ya uingiliaji mambo ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na pia wamekuwa wakiunga mkono ugaidi nchini Iran.