-
Tehran yaiasa China iheshimu visiwa vya Ghuba ya Uajemi, milki ya Iran
Dec 12, 2022 07:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameiasa China iheshimu mamlaka kamili ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran juu ya visiwa vyake vitatu vya eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yazilaumu nchi za Ulaya kwa madai yao ya kilaghai kuhusu haki za binadamu
Dec 12, 2022 03:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezilaumu vikali nchi za Ulaya kwa madai yao ya kilaghai kuhusu haki za binadamu na kusisitiza kuwa, nchi kama Ufaransa na Ujerumani zinaendelea kuvunja haki za binadamu za wananchi wa Iran, lakini wakati huo huo zinajifanya kuwapenda wananchi hao.
-
Iran yaonya majirani juu ya visiwa vya Ghuba ya Uajemi
Dec 11, 2022 23:34Naibu Spika wa Bunge la Iran amesisitiza kuwa Tehran inamiliki visiwa vitatu vya eneo la Ghuba ya Uajemi ambavyo Umoja wa Falme za Kiarabu umekuwa ukidai kuwa eti ni milki yake.
-
Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa
Dec 11, 2022 23:11Mohammad Jamshidi, Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya Rais wa China aliyotoa wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia.
-
Rais wa Iran: Uwepo wa Wamarekani Afghanistan haukuwa na natija ghairi ya vita na umwagaji damu
Dec 10, 2022 09:25Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa Wamarekani nchini Afghanistan haukuwa na natija yoyote kwao ghairi ya vita, umwagaji damu na kupata pigo jingine la kushindwa.
-
Saudi Arabia: Tunaendeleza mazungumzo na Iran kwa ajili ya kukurubisha uhusiano
Dec 10, 2022 09:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema kuwa, mazungumzo baina ya Iran na nchi yake yana matarajio mazuri na kwamba, nchi yake itaebndeleza mazungumzo na Tehran kwa jili ya kukutrubisha uhusiano.
-
Biashara baina ya Iran na Afrika yaongezeka kwa asilimia karibu 40
Dec 10, 2022 04:42Naibu afisa wa Klabu ya Wafanyabiashara wa Iran-Afrika amesema kuwa biashara kati ya Iran na Afrika imestawi kwa asilimia 40.
-
Raisi: Damu toharifu za 'mashahidi wa usalama' zinawatia kiwewe maadui
Dec 09, 2022 22:53Rais wa Iran amesema damu toharifu za maafisa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu waliouawa shahidi zimewakasirisha na kuwatia kiwewe maadui wa taifa hili.
-
Iran yazilaumu nchi za Magharibi kwa misimamo yao ya kindumilakuwili
Dec 09, 2022 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezilaumu nchi za Magharibi kwa siasa zao za nyuso mbili na za kindumilakuwili kuhusu masuala ya haki za binadamu, wanawake na uingiliaji wa mambo ya ndani wa nchi nyingine na kusisitiza kuwa, watu wanaofanya fujo, wanaofanya mauaji ya kigaidi na machafuko nchini Iran, wamekabidhiwa kwa vyombo vya sheria ili uadilifu utendeke.
-
Tehran yazitaka nchi za Magharibi kutowapa hifadhi magaidi wanaoipinga Iran
Dec 09, 2022 04:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imezitaka nchi za Magharibi ziache kuwapa hifadhi magaidi wanaoipinga badala ya kueneza propaganda kuhusu jibu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ghasia za hivi karibuni zinazoungwa mkono na nchi za Magharibi ndani ya nchi.