-
Raisi: Wairani hawawezi kuhadaiwa na nara bandia za 'uhuru'
Dec 08, 2022 09:19Rais wa Iran amesema Wamagharibi kamwe hawawezi kuwahadaa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kutumia nara bandia za 'uhuru'
-
Kuondolewa Press TV Eutelsat kumeonyesha sura halisi ya 'uhuru' wa Magharibi
Dec 08, 2022 08:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema hatua ya kampuni ya satalaiti ya Eutelsat ya Ufaransa ya kuiondoa hewani Televisheni ya Press TV imefichua sura halisi ya Wamagharibi wanaojinadi kuwa watetezi wa uhuru wa kujieleza.
-
Khatib: Rais wa Ufaransa anaongozwa na chanzo kichafu cha CIA
Dec 07, 2022 22:51Waziri wa Usalama wa Iran amezungumzia misimamo ya baadhi ya viongozi wa nchi za magharibi dhidi ya jamhuri ya kiislamu ya Iran na kjusema kuwa: Rais wa Ufaransa anaelekezwa na kuongozwa na chanzo kichafu cha shirika la ujasuusi la Marekani CIA.
-
Raisi: Siku ya Mwanachuo ni nembo ya kumtambua adui na kukabiliana naye
Dec 07, 2022 11:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Siku ya Mwanachuo kuwa ni nembo ya kumtambua adui, kukabiliana naye, kuwa makini na kuwajibika wanafunzi wa vyuo vikuu.
-
Maendeleo ya kielimu na kisayansi ni miongoni mwa vijenzi muhimu zaidi vya nguvu za Iran ya Kiislamu
Dec 07, 2022 05:15Miongoni mwa mambo inayojivunia Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni ukuaji wa kila uchao wa kielimu na kisayansi na jinsi taifa hili lilivyo amilifu katika nyuga za kisayansi, suala ambalo limethibitishwa mara kadhaa na duru za kimataifa.
-
Ghalibaf: 16 Azar (Disemba 7) ni nembo ya kupigania ukombozi dhidi ya Wamarekani
Dec 07, 2022 03:27Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, tarehe 16 mwezi wa Azar, (Disemba 7) ni nembo ya kupigania ukombozi na mapambano dhidi ya uistikbari.
-
Kiongozi Muadhamu asisitizia udharura wa kuondolewa udhaifu wa kiutamaduni
Dec 06, 2022 23:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni la Iran lina wajibu wa kutambua kwa kina udhaifu na mapendekezo ghalati ya kiutamaduni katika nyuga tofauti na kuzipatia ufumbuzi wa kiutaalamu kwa ajili ya kueneza utamaduni wa kuwa na mapendekezo sahihi na ubunifu unaofaa.
-
Kukiri Marekani na Israel kuhusu kutotetereshwa Iran na machafuko ya hivi karibuni
Dec 06, 2022 10:16Sambamba na himaya na uungaji mkono wa Marekani kwa wafanya fujo na machafuko nchini Iran, wachambuzi waandamizi wa masuala ya usalama wa Marekani na utawala haramu wa Israel wamekiri kwamba, Iran haijatetereshwa na machafuko hayo ya hivi karibuni.
-
SEPAH: Tunamiliki teknolojia zote za kisasa za kijeshi
Dec 06, 2022 07:17Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, jeshi hilo linamiliki teknolojia zote za kisasa za kijeshi kwa kutegemea wataalamu wake wa ndani.
-
Iran: Hatuko tayari kufanya mazungumzo chini ya vitisho na mashinikizo
Dec 05, 2022 07:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: viongozi wa Marekani wanajua kwamba Iran haiko tayari kufanya mazungumzo na kuridhia kutoa fursa kwa mashinikizo na vitisho, kwa sababu mapatano yana mantiki yake; na msimamo wa Iran kuhusiana na mazungumzo ya JCPOA uko wazi kabisa.