-
Jenerali Bagheri: Adui ameanzisha 'Vita vya Utambuzi na Vyombo vya Habari' kukabiliana na Iran
Dec 05, 2022 04:44Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kupoteza matumaini adui katika medani ya kukabiliana ana kwa ana na Iran kijeshi na kusema: "Ni kwa sababu hii ndio adui ameanzisha vitisho katika mitandao ya intaneti, vita vya utambuzi na vita vya vyombo vya habari dhidi ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu."
-
Iran: Tawala za kidhalimu za Magharibi zimeshindwa kuficha dhati yao dhidi ya binadamu
Dec 04, 2022 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, baadhi ya nchi za Magharibi zimeshindwa kuficha dhati yao ya kijinai dhidi ya haki za binadamu licha ya kujifanya zinapigania haki za binadamu.
-
Wanachama wa mtandao wenye uhusiano na Mossad wanyongwa nchini Iran
Dec 04, 2022 06:15Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran.
-
Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake
Dec 04, 2022 00:13Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema Wamarekani wanatambua wazi kuwa wamefeli katika juhudi zao za kuunda dunia yenye kufuata sera, amri na mienendo ya Washington.
-
Raisi: Katiba inawadhaminia haki na uhuru wananchi wa Iran
Dec 03, 2022 08:34Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ndiyo mdhamini wa haki na uhuru wa kisheria wa wananchi wa taifa hili.
-
Kan'ani: Haki za binadamu ni mchezo wa nchi kadhaa za wahalifu
Dec 03, 2022 03:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Nasser Kan'ani, ametaja mauaji ya kijana wa Kipalestina kwa kupigwa risasi moja kwa moja na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa yanastahili jibu la kimataifa na kusema: "Haki za binadamu zimekuwa mchezo wa nchi kadhaa za kihalifu."
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Taifa la Iran limeshinda njama za maadui
Dec 02, 2022 08:30Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amezungumzia misimamo ya Iran dhidi ya madola ya kibeberu na kusema kuwa, wananchi wa Iran wamegeuza vitisho vyote vya mabeberu kuwa fursa.
-
Kan'ani: Wazayuni hawana mamlaka ya kutoa maoni kuhusu haki za binadamu
Dec 02, 2022 07:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran mesema kuwa utawala wghasibu, wa kigaidi na wa kibaguzi wa Israel hauna mamlaka yoyote ya kimaadili ya kutoa maoni kuhusu suala la haki za binadamu.
-
Brigedia Jenerali Salami: Ndoto za maadui kuhusu Iran hazitatimia
Dec 01, 2022 23:14Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa wakuu wa Israel na Marekani wanahusika na ghasia na machafuko na wanaota ndoto nyingi kuhusu Iran ambazo hata hivyo hazitatimia.
-
Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7
Dec 01, 2022 23:13Miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika imepindukia dola milioni 990 za Marekani katika kipindi cha miezi saba iliyopita.