-
Raisi: Adui ajue kuwa hana nafasi katika nyoyo za wananchi wa Iran + Video
Dec 01, 2022 10:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba hawana na hawatakuwa na nafasi katika nyoyo za watu wa Iran kwa sababu utamaduni wa kujitolea mhanga na muqawama umekita mizizi miongoni mwa Wairani.
-
Iran imezuia vita vya mseto vilivyoanzishwa na mashirika 47 ya kigeni ya kijasusi
Dec 01, 2022 04:43Mkuu wa vikosi vya kujitolea vya Basij anasema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzima vita vya mseto vilivyopangwa na mashirika 47 ya kijasusi ya madola ya kigeni wakati wa ghasia za hivi karibuni zilizopata uungaji mkono wa nje ya nchi.
-
Mkuu wa Jeshi: Iran iko tayari kikamilifu kukabiliana na tishio lolote la kigeni
Dec 01, 2022 01:03Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jeshi hilo limejipanga kikamilifu kukabiliana na tishio lolote la kigeni ambalo linaweza kuikabili Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Kombe la Dunia limeonesha namna utawala wa Kizayuni unavyochukiwa na walimwengu
Nov 30, 2022 09:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unachukiwa na mataifa mengi ya dunia.
-
Mihimili mitano muhimu katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika kikao na Waziri Mkuu wa Iraq
Nov 30, 2022 03:38Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu mpya wa Iraq aliwasili mjini Tehran Jumanne asubuhi akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa nchi yake kwa safari ya siku mbili humu nchini ambapo alimtembelea Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi Kiislamu, jana alasiri.
-
Raisi: Iran daima inaunga mkono taifa lenye umoja na serikali yenye nguvu huko Iraq
Nov 30, 2022 03:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo kati yake na Waziri Mkuu wa Iraq hapa Tehran kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote inakaribisha na kuunga mkono taifa lenye mshikamano na serikali yenye nguvu huko Iraq.
-
Kiongozi Muadhamu aitaka Iraq ilidhibiti zaidi eneo la Kurdistan lisipeleke magaidi Iran
Nov 29, 2022 23:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, jambo lolote linalohatarisha usalama wa Iran lina madhara makubwa pia kwa Iraq na ameitaka serikali ya Baghdad kulidhibiti zaidi eneo la Kurdistan la Iraq lenye utawala wa ndani ili isiruhusu kutumiwa eneo hilo kuhatarisha usalama wa Iran.
-
Malengo ya maadui ya kufuatilia kuligawa taifa la Iran
Nov 29, 2022 23:11Baada ya hivi karibuni kuzuka vurugu na machafuko mapya nchini Iran maadui sugu wa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu walichukua hatua ya kufuatilia senario ya kuligawa taifa hili katika kambi mbili.
-
Wapalestina waunga mkono Timu ya Soka ya Iran kabla ya mchuano wa Kombe la Dunia na Marekani
Nov 29, 2022 10:13Mashabiki wa soka wa Palestina wameonyesha uungaji mkono mkubwa kwa timu ya taifa ya kandanda ya Iran, iliyopewa jina la utani la Team Melli, kabla ya mechi muhimu ya Kombe la Dunia dhidi ya Marekani leo usiku.
-
Rais Raisi: Iran, Iraq zimeazimia kupambana na ugaidi
Nov 29, 2022 08:21Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema Iran na Iraq zinatilia maanani umuhimu maalum katika kukuza amani na utulivu katika eneo, akisisitiza kuwa mataifa yote mawili yameazimia kithabiti kupambana na chanzo cha ugaidi na ukosefu wa usalama wa kieneo.