-
Iran yamnyonga ajenti wa Mossad aliyekuwa akiifanyia ujasusi Israel
Dec 20, 2025 09:32Idara ya Mahakama ya Iran imetangaza kuwa ajenti wa Shirika la Ujasusi la Israel (Mossad) aliyepatikana na hatia ya kuufanyia ujasusi utawala wa Israel, amenyongwa baada ya kukamilika kwa taratibu zote za kisheria.
-
Iran yasisitiza utayari wa mazungumzo kwa msingi wa kuheshimu haki za taifa
Dec 20, 2025 03:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amerejelea utayari wa Jamhuri ya Kiislamu kushiriki mazungumzo yanaliyojengwa juu ya heshima kwa haki za taifa, huku akipinga vikali mbinu zozote zinazotegemea shinikizo la upande mmoja.
-
Mabasi ya umeme yaliyoundwa Iran yaanza huduma mjini Tehran
Dec 20, 2025 03:35Kundi la kwanza la mabasi ya umeme yaliyotengenezwa nchini Iran limeanza kutoa huduma katika mji mkuu, Tehran, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma na kupunguza uchafuzi wa hewa unaosababishwa na mabasi ya dizeli ya kizamani.
-
Ushirikiano wa Tehran na Moscow; ushirika wa kimkakati katika njia ya mfumo mpya wa kimataifa
Dec 19, 2025 08:03Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia kuendelea kwa ushirikiano wa kimkakati na ushirikiano kati ya Tehran na Moscow.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Tuwaombee ushindi Mujahidina wa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 19, 2025 07:55Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa wa Tehran amesema kuwa, tuna wajibu wa kuwaombea dua Mujahidina wanaojitolea kila kitu chao kwa ajili ya kupigania haki na kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu.
-
Rais Pezeshkian atoa mwito wa umoja wa Waislamu duniani
Dec 18, 2025 06:57Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Rouhullah Khomeini (MA) alikuwa mjumbe wa umoja na mshikamano miongoni mwa watu, akisisitiza kwamba mataifa ya Waislamu yanapaswa yaungane ili maadui wasiweze kuibua mifarakano miongoni mwao.
-
Iran yaalani vikwazo vya upande mmoja vya baharini vya Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 18, 2025 04:11Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kulaani vitisho vya Marekani kwamba itaiwekea vikwazo vya baharini Venezuela na kuitaja hatua hiyo kuwa uharamia unaofadhiliwa na serikali.
-
Araghchi: Uhusiano wa Iran na Russia umeingia hatua mpya
Dec 17, 2025 23:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia umeingia “hatua mpya na ya kasi zaidi” kufuatia kutiwa saini kwa ramani ya ushirikiano ya miaka mitatu pamoja na mwenzake wa Russia, Sergei Lavrov.
-
Mtafiti wa Iran ashinda dhahabu katika tamasha la uvumbuzi la Silicon Valley kwa dawa ya saratani
Dec 17, 2025 23:34Mtafiti mmoja kutoka Iran ametwaa medali ya dhahabu katika Tamasha la Kimataifa la Uvumbuzi la Silicon Valley (SVIIF) 2025 huko California, Marekani kufuatia utengenezaji wa dawa bunifu inayochangia katika matibabu ya saratani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awaonya mahasimu kutorudia makosa ya zamani
Dec 17, 2025 09:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema vitisho vipya vya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran ni sehemu kubwa ya vita vya kisaikolojia, akisisitiza kuwa majaribio ya awali ya kuitisha Iran kwa nguvu za kijeshi au vikwazo hayakuwahi kuzaa matokeo yaliyotarajiwa.